Mpina anarudia makosa yale yale ya kina Mrema, Membe na Lowassa

Sawa mkuu. Lakini asichokijua Mpina ni kwamba tangu 2019 hakuna uchaguzi unaofanyika hapa nchini zaidi ya uchafuzi. So, hata angebaki CCM kama wangemua kumtoa kafara kama walivyowatoa kafara Hawa Ghasia na Ally Kessy mwaka 2020, hawezi kufua dafu.
 
Mpina anataka jimbo tu
Je ataweza kulinda kura

Ova
 
Kahamia ACT wazalendo,angekomaa na ubunge tu,kwenye urais kachemka.
 
Pamoja na yote demokrasia inamruhusu kufanya hivyo
 
Mzee usikute hao wote ni Cc yemu wanacheza na akili zetu tuu nchi Ngumu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…