Panazidi kuchangamka, acha tuoneMgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Asante kwa taarifa.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Labda walijishtukia kuwa kampeni zimepoa na hazina mvuto
Asante kwa taarifa.
Sasa amshitaki aliyemzuia au amsamehe tu?
Hii ni planned movieF.uck INEC, f.uck Msajili, f.uck CCM na majambazi wake wote!
Pia wakakumbuka bila upinzani bungeni itakuajau bora ACT wagombanie urais wapate kura kiduchu za kuwawezesha kupata viti maalum na hiki ndicho ACT wanapigania Viti maalum.Labda walijishtukia kuwa kampeni zimepoa na hazina mvuto
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Ajashinda amerihusiwa tu, ili taswira ya uchanguzi ionekane.Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Ajashinda amerihusiwa tu, ili taswira ya uchanguzi ionekane.
Nadhani alishafukuzwa huyuMonalisa atatimkia chauma
Tunasubiri kuona katiba ya uchaguzi ikivunjwa kwa mara ya pili..!!Itakuwaje maana kule inec muda wa Kurdish fomu ulishaisha na fomu yake haikupokelewa. Je atatoboa?