Wananchi tumesha kataa uchaguzi ...tumesha sema 2025 hakuna uchaguzi wala tanganyika kutawaliwa na mzanzibar siyo sawa ...wazanzibar wamesha jitwalia taifa lao kwa asilimia 99% huku Tanganyika awana chao tena...kampeni za mpina zinatakiwa kuwa no reform no election..hapo samia atajuta ...vyama vya upinzani vilivyo chukua form vilitakiwa kupiga kampeni ya no reform no election...Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Aisee... Ila kwa inavyoonekana hili ndio lilikuwa lengo toka Awali ila Monalisa ndiye alikuja ku intercept nadhani hakuwa miongoni mwa waliobariki huo mchakato.Pia wakakumbuka bila upinzani bungeni itakuajau bora ACT wagombanie urais wapate kura kiduchu za kuwawezesha kupata viti maalum na hiki ndicho ACT wanapigania Viti maalum.
ACT wanapigania kushika dola wewe, ndio chama pekee cha upinzani kilicho serious kwa sasa.Pia wakakumbuka bila upinzani bungeni itakuajau bora ACT wagombanie urais wapate kura kiduchu za kuwawezesha kupata viti maalum na hiki ndicho ACT wanapigania Viti maalum.
I don’t think so. Brawl ya Chura Kiziwi na Mpina siyo ya kuigiza. Utaona jabs zitakazokuwa traded baada ya hapa!Hii ni planned movie
Soma hapa
GE2025 - Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa
Kila mtu anajua shutuma zilizopo juu ya watajwa hapo juu.... Sasa wanaenda kujisafisha kupitia kesi ya Mpina vs Tume... INEC Ni hivi, Mpina anaenda kushinda Mahakama inatoa haki haitoi? ACT ni CCM B au inajitegemea?? Kesi dodoki NB: hizi sio tetesi wala sio za ndani..... Nimewaza nje ya box...www.jamiiforums.com
Sasa waliotegemea kukosa mpinzani kwenye uchafuzi wa 2025. Itakuwaje.Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi hiyo iliyoanza kusikikizwa leo mchana Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na ni rasmi sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
Soma Pia:
- GE2025 - Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais
- GE2025 - Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT
- GE2025 - Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo
Uzuri nafsi na akili yako inajua unadanganya.ACT wanapigania kushika dola wewe, ndio chama pekee cha upinzani kilicho serious kwa sasa.
Yeah lengo la ACT sio dola maana wanajua hawawezi kuipata ila ni viti maalum ndo maana wamemtafuta mtu mmwenye angalau ushawishi wa kutimiza azma yao. Mpina anatumika kama daraja la kuwafikisha nchi ya ahadi na baadae watamkataa.Aisee... Ila kwa inavyoonekana hili ndio lilikuwa lengo toka Awali ila Monalisa ndiye alikuja ku intercept nadhani hakuwa miongoni mwa waliobariki huo mchakato.