Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sasa ajira zenyewe nazo zinakuwa za Godfather, mpaka uwe na Godfather ndio upate ajira. Ukikosa Godfather ndio hivyo tena. Teuzi nazo zenyewe za upendeleo, ukitaka teuzi ndio basi kabisa, mpaka uwe na mtu mkubwa. Kama huna mtu mkubwa utasikia tu. Na ndio maana leo hii unasikia bunge lote hili limejaa familia za watu, za ndugu jamaa na marafiki. Vijana hawezi kufurahia hayo na wala hawezi kuunga mkono mambo ya namna..."