Mpina: Bunge lote limejaa familia za Watu, Ndugu jamaa na Marafiki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Your browser is not able to display this video.
"Vijana wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka zaidi ya milioni moja, wanaopata ajira ni asilimia 20 tu. Yaani hawapati ajira zaidi ya vijana 800,000.

Sasa ajira zenyewe nazo zinakuwa za Godfather, mpaka uwe na Godfather ndio upate ajira. Ukikosa Godfather ndio hivyo tena. Teuzi nazo zenyewe za upendeleo, ukitaka teuzi ndio basi kabisa, mpaka uwe na mtu mkubwa. Kama huna mtu mkubwa utasikia tu. Na ndio maana leo hii unasikia bunge lote hili limejaa familia za watu, za ndugu jamaa na marafiki. Vijana hawezi kufurahia hayo na wala hawezi kuunga mkono mambo ya namna..."
 
Sawa , inafahamika na inajulikana , hakuna tutakachowafanya na wanajua hilo !
Kama vile Uganda tu !

Sad
 
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…