Pre GE2025 Mpina hajaelewa kabisa azimio la kumpitisha Samia kugombea 2025. Alitarajia nini kitokee? Sukuma gang kuanzisha vita?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.

Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3206927

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Kwani ni lazima abaki ccm mwambie ahame
 
Nadhani kuna namna hawa vijana/wazee watatu (Mongela, Nchimbi na Makala) wamebadili upepozzzz
Mpina na wengine hawawezi kukubali kirahisi hivyo. Ndio TATIZO la kuwa Mwenyekiti na wakati huo huo ni Rais
 
Wakuu,

Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.

Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3206927

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Hakika Mpina alitarajiwa kuchukua form. Siyo yeye tu wapo wazalendo wengine mlengo wa kimagufuli wangemchalenji mama. Hakika reactionaries kwenye ccm wamecheza mchezo wa kushtukiza. Yaani ni wezi kama ilivyotarajiwa. Wapinga maendeleo watu binafsi na wahujumu wa nchi kwa kawaida sio watu waadilifu. Wameitisha mkutano mkuu kumteua makamu wa mwenyekiti huku ajenda yao kumteua mama kugombea urais ili waendelee kuihujumu nchi kwa kukabidhi mali asili zake kwa wahindi na waarabu. Wazalendo amkeni tokeni kwenye usingizi kuona namna ya kuwakabili wezi wa uteuzi mgombea urais ccm.
 
Tanganyika ilisha kufa
Na zanzibar ife ili jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwe na rais mmoja.
Tofauti na hivyo , Tanganyika iwe na rais wake pia na muungano uwe ni wa serikali tatu. Sio sawa mzanzibar kuamua mambo ya Tanganyika kama ambavyo sio sawa mtanganyika kuamua mambo ya zanzibar.
 
Mpaka sasa Zanzibar ipo, ila Tanganyika ilisha kufa, ukitaka Zanzibar ife huo ni mchakato mwengine
 
Wakuu,

Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.

Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3206927

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Ninachojua Mpina amekuwa akimusifia Samia hadharani kuwa ni mchapa kazi.
 
Wakuu,

Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.

Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3206927

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Wajumbe watu wabaya sana,walimuhakikishia wako pamoja nae, na Mpina nae akamwqga mpunga kwa Wajumbe!!
 
Historian itamkumbuka Mpina kwa kuonyesha kuwa uvuvi haramu ziwa victoria unaweza kutokomezwa....tulishihudia sangara wakubwa, dagaa, na Sato wakubwa wakivuliwa...

Kwa yanaendelea sasa hivi wavuvi ambao ndio tegemeo la uchumi wa kanda ya ,iwa watafute kazi nyingine maana Hadi mayai ya samaki yanavuliwa.
 
Mpina ni mpumbavu sana, namshauri mama amkate kwenye ubunge
Hapana wasimkate; anaweza akayumbisha kura. Mkoa anaotoka na pia jimbo analotoka, vina signaificance kubwa kwenye uchaguzi ujao. Mh Nchimbi yupo hekima zake zitarekebisha haya ni madogo sana kwake
 
Mpina si chawa wala Zwazwa wala mchumia tumbo.
U-radical umezidi kiwango; na inapokuwa imetokea hivyo, inakuwa siyo siasa tena bali persona attacks. U-radical ukizidi kiwango unatoka kwenye Siasa na kutengeneza uadui binafsi
 
Back
Top Bottom