The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Moja kati ya Wanaccm nilikua nawakubali ni kaka yangu Luhaga Mpina.
Ila yeye kutoka CCM na kujiunga ACT ni maamuzi mabaya zaidi.
Ataenda kushiriki na kusindikiza tu CCM hamna atakachoambulia.
Namkumbusha tu Lowassa alikusanya vyama zaidi ya vitano mwaka 2015.
Rafiki yangu Bernard kamilius Membe alifanya same movement kama yako mpina 2020 aliambulia nini ?
Lissu yupo sahihi kwaza reform lazima ili tupate katiba na tume huru la sii hivo kushiriki uchaguzi na tume hiii sawa na kubeba maji katika pakacha ( bebeo mithili ya dustbin)
ALITAKIWA KUFANYA NINI MPINA MDA HUU.
1. Angebaki CCM akaunda genge na kina Polepole ili watie pressure ndani ya CCM watengeneze nyufa.
2. Angeenda Chadema kuungana na Heche John katika mapambano ya kudai reform