The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Thank you chief kwa comment yako ni fupi ila ina maana nzur sanaTatizo waTz wanachanganya wanamapinduzi,wanasiasa na wanaharakati.
Wanasiasa ndiyo tabaka la watu wasio na akili ndani ya Tz wanaotanguliza maslahi yao tofauti na wanamapinduzi wenye kutaka mageuzi ya kweli ambao hawapo