Mpina: Kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? Kwanini ukihoji Serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi?

Mpina: Kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? Kwanini ukihoji Serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi?

100% lazima uwe,mnufaika sio bure! harafu sisi watz kwanini tunapenda kujibu changamoto kwa changamoto za awali? Aya kinachosemwa ni kweli au si kweli? ni sahihi kiendelee kufanyakia?
Yeye Kila siku anafanya kazi ya kuhoji serrkali, kanyamazishwa na nani?!!!! 🤣🤣🤣

Wanafiki wakubwa. Aseme tu kuwa ana shida binafsi na Samia, kama ilivyo kwa wanachadema wote, tutamuelewa.
 
Back
Top Bottom