D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Aug 12, 2026 #21 olmo said: 100% lazima uwe,mnufaika sio bure! harafu sisi watz kwanini tunapenda kujibu changamoto kwa changamoto za awali? Aya kinachosemwa ni kweli au si kweli? ni sahihi kiendelee kufanyakia? Click to expand... Yeye Kila siku anafanya kazi ya kuhoji serrkali, kanyamazishwa na nani?!!!! 🤣🤣🤣 Wanafiki wakubwa. Aseme tu kuwa ana shida binafsi na Samia, kama ilivyo kwa wanachadema wote, tutamuelewa.
olmo said: 100% lazima uwe,mnufaika sio bure! harafu sisi watz kwanini tunapenda kujibu changamoto kwa changamoto za awali? Aya kinachosemwa ni kweli au si kweli? ni sahihi kiendelee kufanyakia? Click to expand... Yeye Kila siku anafanya kazi ya kuhoji serrkali, kanyamazishwa na nani?!!!! 🤣🤣🤣 Wanafiki wakubwa. Aseme tu kuwa ana shida binafsi na Samia, kama ilivyo kwa wanachadema wote, tutamuelewa.