GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnaamini hii michezo?

 
Mbona kina Lowasa walikubaliwa wagombee?
 
Mimi naona Ubunge ndo ulikuwa size yake! Huko alikokwenda no!! 🙌🏽🙌🏽
 
Maskini Mpina 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DN2q0qXxGpp/?igsh=c2Nna3RscWc2M24w
 
Kwahiyo haya yote hakuwa anayajua?😅😅
 
Jamaa alinza vizuri ila alipoingia huko nikamwona POPOMALISM
 
Law 35: Master the Art of Timing from The 48 Laws of Power by Robert Greene—a subtle yet powerful principle.Mpina hapa ndipo aliposhindiwa
 
Samia na Kikwete wanapenda visasi sana wakikuandama hadi wahakikishe unatambaa, Mpina ajiandae kuandamwa kwenye biashara na vitega uchumi vyake.
 
Kale kanondo kalikokuwa kanatokwa povu na kumtetea huyu mpini sijui kana hali gani huko kalipo kana matatizo ya akili kale katoto. Haya kaka linde hizo kula sasa vikiambiwa uchaguzi mwaka huu hakuna havisikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…