GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
he's not smart in my opinion, alipaswa kujiuliza yaani zito kabwe amuachie urais kama alikuwa na chances yoyote ya kushinda? kama kweli walimpenda wangemuacha agombee ubunge kwani huo alikuwa na uwezo wa kushinda na kubakia relevant, sasa pamoja na kijipendekeza kwa muslims kuvaa kanzu na vibarakashia bado wamemchinjilia mbali, he is done, ubunge hakuna na ndiyo mwisho wake ...

ujinga la karne ...
View attachment 3454678
Dah kwhy apa walikuwa wanamcheka mwenzao
 
Ila kweli huyu alipaswa kugombea ubunge, sio uraisi,
Hakucheza karata zake vizurii, Lol.
 
Kuna mambo yanatokea unashindwa kusikitika au kucheka,
Huu Mchezo hauhitaji hasira,
 
Mpina hakutimiza vigezo vya kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo kwa sababu alikiuka masharti ya msingi ya chama. Alijiunga na chama tarehe 5 Agosti, lakini akateuliwa siku hiyo hiyo, wakati kanuni zinahitaji angalau siku 30 za uanachama kabla ya kuchukua fomu ya kugombea. Hili lilionekana kama kuvunja utaratibu wa ndani wa chama.

Fomu za kugombea zilipaswa kuchukuliwa hadi tarehe 25 Mei, lakini Mpina alichukua fomu miezi mitatu baadaye. Pia hakuwasilisha tamko la mali zake binafsi, wala kueleza kama ana uhusiano na vyama vingine vya siasa—mambo ambayo ni ya lazima kwa uwazi na uwajibikaji.

Hakuwasilisha ushahidi wa kuelewa itikadi ya chama, ambayo ni pamoja na falsafa, misingi na mwelekeo wa ACT-Wazalendo. Kwa chama kinachojitambulisha kwa misingi ya demokrasia ya ndani, uwazi na usawa, kutofuata taratibu hizi ni kosa kubwa.

Uteuzi wake ulionekana kama ukiukaji wa sheria ya vyama vya siasa, hasa kifungu kinachotaka chama kiendeshe shughuli zake kwa kufuata katiba na kanuni zake. Hii ilisababisha mjadala mpana kuhusu uhalali wa mchakato huo na uaminifu wa chama kwa misingi yake.

Hoja si kwamba hana uwezo wa kisiasa, bali mchakato wa uteuzi wake haukuheshimu taratibu zilizowekwa. Katika siasa zenye misingi ya haki, hata nia njema inahitaji kufuata utaratibu sahihi.
Sasa alipewaje fomu ya kugombea wakati muda wa kuchukua ulikuwa umeisha?
 
Kasome kwa utulivu then subiri siku Tano uone
 
Mbona alievunja utaratibu na katiba ndani ya ccm hakuchukuliwa hatua?
Hii nchi ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom