Acheni ujinga,nchi hii bila kushirikiana na hao mnaoona kuwa hawafai hatutaweza kuikomboa nchi mikononi mwa wezi na wauaji.Ndio walewale,hasitutanie.
Wakati ukiwa waziri wa JPM alipigwa risasi Lissu na uliishia kutoa kejeri kuhusu ilo tukio. Pili CW,EU na USA sio serikali yetu. Tumechagua viongozi wetu na nchi hii hipo huru. Ni wakati sasa Mpina aitake USA na Israel waache kuishambulia Iran na Lebanon.Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa maelezo na maagizo yaliyotolewa na Jumuiya ya Madola, AU, na Marekani hayajatekelezwa na mtawala bado anaficha ukweli.
Amefafanua kuwa muda uliowekwa na Jumuiya ya Madola wa siku 90, siku 30 za kuachiwa huru kwa Tundu Lissu, pamoja na siku 60 za kufanya majadiliano na maelewano ndani ya nchi zote zimeshaisha bila utekelezaji wowote au mazungumzo ya maana kufanyika.
Mpina ameongeza kuwa licha ya yeye kuwa mgombea urais ambaye kesi yake bado iko mahakamani, hakuna mjadala ulioendeshwa kutatua migogoro hiyo ya kisiasa nchini. Amesisitiza kuwa Tundu Lissu bado yuko gerezani hadi sasa na kesi yake haijaisha, huku muda uliopangwa ukipita bila serikali kuchukua hatua za dhati kutimiza maazimio ya kimataifa na ya ndani.
"Jumuiya ya Madola waliweka siku 90, siku 90 zishaisha. Siku 30 za kuachiwa Tundu Lissu zishaisha. Siku 60 za kujadiliana na kufanya maelewano ndani ya nchi zishaisha, hamna maelewano yoyote. Mimi hapa ni mgombea wa urais ambaye kesi yangu iko mahakamani. Hakuna mjadala wowote ulioendeshwa kutatua matatizo katika taifa hili. Tundu Lissu yuko gerezani mpaka sasa hivi kesi yake haijaisha "
Soma pia
Hata kama unaongoza taifa maskini, usikubali kuonesha unaweza kupewa na kutekeleza maagizo ya vyombo vya nje kirahisi rahisi.maelezo na maagizo yaliyotolewa na Jumuiya ya Madola, AU, na Marekani hayajatekelezwa
Wakati ukiwa waziri wa JPM alipigwa risasi Lissu na uliishia kutoa kejeri kuhusu ilo tukio. Pili CW,EU na USA sio serikali yetu. Tumechagua viongozi wetu na nchi hii hipo huru. Ni wakati sasa Mpina aitake USA na Israel waache kuishambulia Iran na Lebanon.
Ujinga mliufanya nyie kujiunga na ccm kama sio wao kuingia katika uchaguzi magumashi wa Mo29Acheni ujinga,nchi hii bila kushirikiana na hao mnaoona kuwa hawafai hatutaweza kuikomboa nchi mikononi mwa wezi na wauaji.
Kwahiyo mliokua mnawakata vidole kisa wameshiriki kupiga kura walikua sio watanzania hao? Vipi mlitaka kutumia njia isiyokubalika ili mchome nchi yetu kwahiyo nyie ndiyo halali?Wewe lazima umejawa na uwendawazimu na unafiki mkubwa! Ni lini wananchi waliwachagua hao watawala waliowapora mamlaka wananchi?
Watanzania sasa hivi wanatawaliwa na wakoloni wabaya kuliko hata wa kale. Wale wakoloni wa kale, waliingia na kuwatawala watu bila ya hiari yao, lakini hawakufanya uharamia wa kiwango cha hawa wa sasa. Hawa wa sasa, wameua watu maelfu, halafu wakajitangaza kuwa ni watawala. Cha ajabu anatokea mwendawazimu mmoja anasema eti 'serikali yetu!. Wewe una serikali gani! Wewe inatawaliwa utake usitake.
PUMBAVUWakati ukiwa waziri wa JPM alipigwa risasi Lissu na uliishia kutoa kejeri kuhusu ilo tukio. Pili CW,EU na USA sio serikali yetu. Tumechagua viongozi wetu na nchi hii hipo huru. Ni wakati sasa Mpina aitake USA na Israel waache kuishambulia Iran na Lebanon.
Huyu Mh. Naibu Waziri Kivuli ameishapewa taarifa kwamba EU wame release Pesa kwa Tanzania tangu Julai, 2026?Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa maelezo na maagizo yaliyotolewa na Jumuiya ya Madola, AU, na Marekani hayajatekelezwa na mtawala bado anaficha ukweli.
Amefafanua kuwa muda uliowekwa na Jumuiya ya Madola wa siku 90, siku 30 za kuachiwa huru kwa Tundu Lissu, pamoja na siku 60 za kufanya majadiliano na maelewano ndani ya nchi zote zimeshaisha bila utekelezaji wowote au mazungumzo ya maana kufanyika.
Mpina ameongeza kuwa licha ya yeye kuwa mgombea urais ambaye kesi yake bado iko mahakamani, hakuna mjadala ulioendeshwa kutatua migogoro hiyo ya kisiasa nchini. Amesisitiza kuwa Tundu Lissu bado yuko gerezani hadi sasa na kesi yake haijaisha, huku muda uliopangwa ukipita bila serikali kuchukua hatua za dhati kutimiza maazimio ya kimataifa na ya ndani.
"Jumuiya ya Madola waliweka siku 90, siku 90 zishaisha. Siku 30 za kuachiwa Tundu Lissu zishaisha. Siku 60 za kujadiliana na kufanya maelewano ndani ya nchi zishaisha, hamna maelewano yoyote. Mimi hapa ni mgombea wa urais ambaye kesi yangu iko mahakamani. Hakuna mjadala wowote ulioendeshwa kutatua matatizo katika taifa hili. Tundu Lissu yuko gerezani mpaka sasa hivi kesi yake haijaisha "
Soma pia
Mbona walikubatiza jina baya hivyoPUMBAVU
We Mpina na hao mabeberu wenzako msitupigie kelele. Sisi ni NCHI HURU na wagumu kama jiwe, tena JIWE "KWERI KWERI". Hatutishwi wala kubabaishwa na nyang'au yeyote.Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa maelezo na maagizo yaliyotolewa na Jumuiya ya Madola, AU, na Marekani hayajatekelezwa na mtawala bado anaficha ukweli.