Mpina: Maelezo ya Jumuiya ya Madola hayajatekelezwa mtawala bado anaficha ukweli

Acheni ujinga,nchi hii bila kushirikiana na hao mnaoona kuwa hawafai hatutaweza kuikomboa nchi mikononi mwa wezi na wauaji.
Huyu wakati lissu anapigwa risasi si alikuwa waziri?
Alisaidia nini?
Leo ndo unaona niwakuungana nae?
Safari ni ndefu sana.
 
Hayo ni maigizo, mabeberu wapi kwa ajili ya maslahi yao na maslahi wananchi.Wakisharebishiwa wanachokitaka wanageuza msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…