Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Sure kakaDu, kukosa uwaziri kunaamsha akili. Atasema sana, lakini ndo kashetemwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure kakaDu, kukosa uwaziri kunaamsha akili. Atasema sana, lakini ndo kashetemwa.
Yale yale tu, usipomuamini Rais aliechaguliwa kwa kura, hakuna mtu mwingine utaamini,, wabunge wanaounda serikali hawawezi kukataa kupitisha teuzi za Rais,, hata wakikataa, Rais atateua mwingine wampitishe,,Mawaziri waendelee kuteuliwa na Rais, wathibitishwe na Bunge
Huyu afungue miradi tu, zama zake zimepita,, tena awe mlipa kodi mzuri asikwepe kwepeMuendelezo wa Kauli za kukata tamaa ya kuteuliwa na pia kupigwa chini ubunge