Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali.
Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa upendeleo imekuwa ikitolewa kiholela huku serikali ikienda kukopa nje na kupendekeza tume hiyo iliyoundwa na Rais kufanya uchunguzi juu ya suala hilo
Mpina ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu maoni yake kwenye Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi.
"Akiongea Mpina kwamba kuna misamaha ya kodi ya kiholela huko anaonekana mbaya, anaonekana anachongea watu na wengine wanaenda mbali 'hakipendi chama'", ameeleza.
Mwigulu mwenye ukimuangalia uso sasa hivi ana sura ya mlevi kupindukia (cha pombe) sio tena yule młokole.
Kaiba mpaka ka saza. anaona aibu, anasubiri kutumbuliwa tu, iwe zamu ya mwingine kuhalalisha uhuni wa ‘bi-tozo’.Ukimwangalia ata yeye anaona ni too much.
Mwigulu mwenye ukimuangalia uso sasa hivi ana sura ya mlevi kupindukia (cha pombe) sio tena yule młokole.
Kaiba mpaka ka saza. anaona aibu, anasubiri kutumbuliwa tu, iwe zamu ya mwingine kuhalalisha uhuni wa ‘bi-tozo’.Ukimwangalia ata yeye anaona ni too much.
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali.
Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa upendeleo imekuwa ikitolewa kiholela huku serikali ikienda kukopa nje na kupendekeza tume hiyo iliyoundwa na Rais kufanya uchunguzi juu ya suala hilo
Mpina ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu maoni yake kwenye Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi.
"Akiongea Mpina kwamba kuna misamaha ya kodi ya kiholela huko anaonekana mbaya, anaonekana anachongea watu na wengine wanaenda mbali 'hakipendi chama'", ameeleza. View attachment 3217899