Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza.

Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved πŸ’― haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything.

Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na maCCM kutuhadaa wadanganyika basi maCCM hayawezi kuruhusu asimame jukwaani aanze kuharibu na hoja zake za ufisadi ambao ni ukweli.

USHAURI
Mpina angebaki hukohuko CCM apige spana kama.wenzake akina Gwajima. Hata akifukuzwa awe mwanasiasa huru apige spana maana pesa anazo kwa sasa anajishushia heshima tu
 
Tuliwaambia Mpina ni mshamba hamkuelewa? Msukuma na wajanja wa mjini wapi na wapi?
 
Tumeshtuka hatuna muda wa kufuatilia ujinga wao
 
Mpina ni mshamba. Hili liko wazi.

Kuna due diligence fulani alitakiwa kufanya hakufanya.

Ila hayo mengine yanahitaji ushahidi wa ziada hata kama ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…