Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwisha habari yakeKapewa za komwe [emoji23]
Tanzania sijawahi kusikia ina upungufu wa usd ndio kipindi chake huyu jamaa kwenye hiyo Wizara na mbaya zaidi Mama anamuamini kweli...Kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni
Because the guy who is attacked, has got flaws everywhere. Hakuna siri. Ilikuwa rahisi kusema wengine hawana sifa na wezi. Ila je, sasa hivi hakuna wizi? Kama upo, ni kwa kiasi gani?Mh Mpina the personal attack is too much kwa Mh Mwigulu haiwezekani ukamuandama Mwanaume mwenzio hivyo nina wasi wasi na jinsia yako ?Mambo ya Uganga wa kienyeji kuna uongo gani wewe ndio Mchawi mkubwa na mlishaongea bungeni mkamaliza ? Kwa nini ulimi uteleze umeamua kwa makusudi kutoa takwimu za uongo unajifanya ulimi umeteleza uchochezi huo
Husibishane na mtu bishana na taasisi
Mh Raisi wakina Mpina hawakufungua ulimi enzi za mwenda zake tumia njia hiyo ya mwenda zake kuwapa discipline kwa wote wanaoleta midomo kwenye serikali yako
Wajinga ndiyo waliwao! Nenda kamfufue huyo shetani mwenzio!Mh Mpina the personal attack is too much kwa Mh Mwigulu haiwezekani ukamuandama Mwanaume mwenzio hivyo nina wasi wasi na jinsia yako ?Mambo ya Uganga wa kienyeji kuna uongo gani wewe ndio Mchawi mkubwa na mlishaongea bungeni mkamaliza ? Kwa nini ulimi uteleze umeamua kwa makusudi kutoa takwimu za uongo unajifanya ulimi umeteleza uchochezi huo
Husibishane na mtu bishana na taasisi
Mh Raisi wakina Mpina hawakufungua ulimi enzi za mwenda zake tumia njia hiyo ya mwenda zake kuwapa discipline kwa wote wanaoleta midomo kwenye serikali yako
Wale wakina Demand and Supply wapo wapi?Mchumi no 1 my foot [emoji23]