Mpina, Panya anayejaribu kumvisha paka kengele!

Yule jamaa wa vunjo aanze kupasha misuli moto kuna sub itafanyika siku chache zijazo kama kina mpina wanatumika kama vuvuzela kupaza sauti kwa yule mshambuliaji atolewe. Mechi ni kali kinachosubiriwa ni refa kuamua mwenyewe
 
Because the guy who is attacked, has got flaws everywhere. Hakuna siri. Ilikuwa rahisi kusema wengine hawana sifa na wezi. Ila je, sasa hivi hakuna wizi? Kama upo, ni kwa kiasi gani?
 
Wajinga ndiyo waliwao! Nenda kamfufue huyo shetani mwenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…