Mpina: Spika Tulia unda Tume za Bunge kuchunguza 1. Kuchelewa Bwawa la Nyerere 2. Kupanda bei za mafuta 3. Bei za Mbolea

Mpina ni mmojawapo wa wabunge ambao hawako Bungeni kimaslahi wala kichama kama hao wengine.

Tatizo ni kwamba Bunge zima limetekwa kupitia chama chao CCM.

Unakuta akitokea mmojawapo kuchangia kwa maslahi mapana ya kitaifa zaidi.

Anayepangwa kuchangia ni yule wa maslahi binafsi.
Wanakuwa wamejipanga ku mcrash yule aliyegusia maslahi muhimu ya kitaifa.
Kwa hiyo na wewe unawaponda wabunge wazalendo waliopitishwa na mzalendo wetu makini, hayati JPM? Na wewe leo umemsaliti??
 
Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri:

Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima?

Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa Misamaha ya Kodi kwa Wawekezaji mahiri

Tatu amemtaka waziri wa fedha kuwashughulikia ipasavyo maafisa Ununuzi wa serikali

Nne, ameuliza Deni la Serikali kwa mwaka ni Trillion 8 au 15 kwa sababu kuna figure zinaleta ukakasi

Tano, Amemshauri Spika Tulia kuunda Tume za Bunge kuchunguza swala la kuchelewa Bwawa la Nyerere kukamilika

Kupanda kwa bei za mafuta kwa kisingizio cha Vita ya Ukraine

Kupanda kwa bei za Mbolea

Source Star tv bungeni

Kiukweli Mpina, Zitto Kabwe J J Mnyika na Tundu Lisu ni sawa na Bunge zima
ingesaidia tungejua ukweli
 
Tulidharau hizi hoja
 
Back
Top Bottom