Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
"Modi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna malori chungu nzima? "
Kwa hiyo alizeti ipandwe kwenye malori?
Kwa hiyo na wewe unawaponda wabunge wazalendo waliopitishwa na mzalendo wetu makini, hayati JPM? Na wewe leo umemsaliti??Mpina ni mmojawapo wa wabunge ambao hawako Bungeni kimaslahi wala kichama kama hao wengine.
Tatizo ni kwamba Bunge zima limetekwa kupitia chama chao CCM.
Unakuta akitokea mmojawapo kuchangia kwa maslahi mapana ya kitaifa zaidi.
Anayepangwa kuchangia ni yule wa maslahi binafsi.
Wanakuwa wamejipanga ku mcrash yule aliyegusia maslahi muhimu ya kitaifa.
Marais wa wajao? Kwa chama hiki hiki? Watangoja sanaMpina
Gambo
Polepole
Ni marais wajao hawataki kulamba asali wafipa.
ingesaidia tungejua ukweliMbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri:
Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima?
Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa Misamaha ya Kodi kwa Wawekezaji mahiri
Tatu amemtaka waziri wa fedha kuwashughulikia ipasavyo maafisa Ununuzi wa serikali
Nne, ameuliza Deni la Serikali kwa mwaka ni Trillion 8 au 15 kwa sababu kuna figure zinaleta ukakasi
Tano, Amemshauri Spika Tulia kuunda Tume za Bunge kuchunguza swala la kuchelewa Bwawa la Nyerere kukamilika
Kupanda kwa bei za mafuta kwa kisingizio cha Vita ya Ukraine
Kupanda kwa bei za Mbolea
Source Star tv bungeni
Kiukweli Mpina, Zitto Kabwe J J Mnyika na Tundu Lisu ni sawa na Bunge zima
Tulidharau hizi hojaMbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri: