GE2025 Mpina tambua kuwa Watanzania wa leo sio wale 1995 waliokuwa wanasukuma gari la Marehemu Lyatonga Mrema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa
==================
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini katika kutatua changamoto za Watanzania.

Akizungumza Agosti 9, 2025 akiwa Zanzibar alipokwenda kutambulishwa kwa Wazanzibar, Mpina amesema: "Hatuna mchezo na taifa letu. Hatutapumzika kulipigania mpaka maendeleo yaliyokusudiwa yafikie wananchi. Watanzania hawawezi kuwa wanyonge kwenye taifa lao, hawawezi kugeuzwa manamba na kikundi kidogo cha watu kinachonyonya fedha za nchi hii."
 
View attachment 3436772
Wewe Shida Yako ni Nini? Kusukuma gari au tunataka mtu mwenye sera nzuri za kuondoa matapeli ya CCM
 
Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa
==================
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini katika kutatua changamoto za Watanzania.

Akizungumza Agosti 9, 2025 akiwa Zanzibar alipokwenda kutambulishwa kwa Wazanzibar, Mpina amesema: "Hatuna mchezo na taifa letu. Hatutapumzika kulipigania mpaka maendeleo yaliyokusudiwa yafikie wananchi. Watanzania hawawezi kuwa wanyonge kwenye taifa lao, hawawezi kugeuzwa manamba na kikundi kidogo cha watu kinachonyonya fedha za nchi hii."
View attachment 3436772
Yeye ndo igizo kuu
 
Pole pole kasema kwani hatujui ACT ni ya nani?,danganya toto peremende haina nafasi
 
Ametafuta mahali pa kutemea nyongo! Huko mbeleni huenda akarudi CCM kama ng'ombe aliyekatwa mkia.
 
Back
Top Bottom