GE2025 Mpina: Tumeomba Uchaguzi wa urais usifanyike, hadi shauri lilipo mahakamani likamilike

GE2025 Mpina: Tumeomba Uchaguzi wa urais usifanyike, hadi shauri lilipo mahakamani likamilike

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Masikini Mpina, ili kusimamisha uchaguzi, unatakiwa kuweka bond ya yenye thamani ya gharama ziliizoshatumika mpaka sasa kwenye maandalizi ya Uchaguzi, nani Amazon hizo fedha?.

Tuendelee kujianda kwenda kupiga kura hiyo October 29.

Kitu muhimu ni Mwami Zitto Kabwe aseme kura za ACT kwa urais wanampa nani!

P
Utapiga kura labda wewe mzee na wajukuu zako, usitujumuishe wote eboo!.
 
Kama kweli CCM inakosa kufuata utawala wa sheria kwa kuendelea na kampeni wakati kesi za uteuzi wa mgombea wake bado zipo mahakamani, basi hii inaweza kuwa na athari kubwa kwa uhalali wa uchaguzi. Ili kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi ni wa haki na una uhalali wa kisheria, ni muhimu kwamba chama hicho kifuate sheria na taratibu zinazohusika, na haki inatolewa kwa wote, bila kuingilia au kupuuza sheria zinazohusu uteuzi wa wagombea.
 
Masikini Mpina, ili kusimamisha uchaguzi, unatakiwa kuweka bond ya yenye thamani ya gharama ziliizoshatumika mpaka sasa kwenye maandalizi ya Uchaguzi, nani Amazon hizo fedha?.

Tuendelee kujianda kwenda kupiga kura hiyo October 29.

Kitu muhimu ni Mwami Zitto Kabwe aseme kura za ACT kwa urais wanampa nani!

P
Sema uendelee kujiandaa kupiga kura, usiseme tuendelee kujiandaa. Tupo sisi wengine ambao japo hatuwezi kujiita ni watakatifu, lakini tunautafuta utakatifu, hivyo kamwe hatuwezi kushiriki vitendo vyovyote vya kubariki ushetani kupitia uchaguzi bandia.
 
Pascal, uchaguzi haupo... Yaani tunashangaa a very senior member wa JF hata hujui kwamba huyo kibibi kwamba watanganyika washamkataa ? CCM watupe mtu sahihi.
Mkuu FUSO , tuna members wa aina mbili humu, tuna wishful thinkers na the realists, kwa muda uliobaki there is nothing anyone can do isipokuwa kwenda kupiga kura, na hata kama humpendi Samia, nenda kamchague Mwajuma, usipo piga, utapigiwa na kura yako itakuwa imemchagua Samia!.
P
 
Sema uendelee kujiandaa kupiga kura, usiseme tuendelee kujiandaa. Tupo sisi wengine ambao japo hatuwezi kujiita ni watakatifu, lakini tunautafuta utakatifu, hivyo kamwe hatuwezi kushiriki vitendo vyovyote vya kubariki ushetani kupitia uchaguzi bandia.
Kupiga kura ni hiari, na kutopiga pia ni hiyari, ila kwa vile karatasi yako ya kura ipo, imeisha printiwa kwa gharama kubwa, isipotumika inapoteza thamani, kuliko kupoteza thamani, usipopiga wewe, unapigiwa!
Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!
P
 
Back
Top Bottom