GE2025 Mpina: Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba, nilikataa mipango yao ya kuuza bandari na rasirimali za nchi

GE2025 Mpina: Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba, nilikataa mipango yao ya kuuza bandari na rasirimali za nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mpeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina anasema kuwa sababu ya yeye kufukuzwa bungeni ni baada ya kuwakaba sana na kupinga baadhi ya mipango ikiwemo kuuza bandari na rasilimali za nchi.

"Viongozi uliowapa dhamana wamefika mahali wanasema kwamba wanakula kwa urefu wa kamba.

Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba kwelikweli, walipoleta mpango wao wakuuza bandari nilikataa, walipoleta mpango wao wa kuuza rasilimali za nchi hii nilikataa, walipowabeba wezi nilikataa, walipotaka kuwabia kwenye pamba nilikataa, walipotaka kuhalalisha mambo ya hovyo ya kuwatesa wananchi nilikataa"
- Luhaga Mpina, Mgombea Urais ACT Wazalendo
 
Back
Top Bottom