Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Umeaingia upande huo huna hata mwezi una mwaga masifa tu Kwa tume na polisi, Ukiingia huko hata kama una jua nyie ni chama sindikizi unatakiwa kujifanya radical , kuponda na kukosoa sana . Jifanye kama huoni mazuri yaliyofanywa
Zitto hebu mfundidhe jinsi munavyo ishi upande HUU,
Masikini CHADEMA mlimuona shujaa. Kadili siku zinavyoenda mtaona rangi zake
Mama amemkataa na Magu alimkataa wanazo sababu...
Mpina, wenzako hawako hivyo..............unawaharibia