Mhe. Mpina nianze kukupongeza kwa michango yako kila Bunge linapokaa. Leo ulipokuwa unachangia kwenye bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba ulitoa hoja ambayo kila Mtanzania atakuunga mkono.
Wizara katika taarifa yake walitaja Idadi ya mikataba bila kutaja jina la mkataba na thamani ya kila mkataba. Unapotayarisha taarifa yako lazima iwe detailed. Wizara inataja tu mikataba bila kuambatisha annexes. Je hiyo ni sahihi?.
Hapa Mhe. Mpina alikuwa sahihi kabisa. Leo nimeishangaa kiti cha Mwenyekiti kupuuzia hoja ya Mhe. Mpina. Mimi sielewi Bunge hili linafanyaje kazi kupuuzia mambo ya msingi kama hoja ya Mhe. Mpina. Pili, lingine alilouliza ni Azimio lililoletwa mbele ya Bunge ikidaiwa kuwa tayari ilikwishajadiliwa na Bunge kumbe bado. Hapa pia kiti cha Mwenyekiti linanyamazie jambo zito kama hilo.
Mhe. Mpina utachukiwa sana kwa kusema ukweli na sisi tuliopo huku uraiani tunakuombea kwa Mungu. Hoja zako ni za ukweli lakini kiti cha Spika kinakuangusha.
Nihitimishe kwa kusema kuwa nimemshangaa sana Mwenyekiti kwa kupuuzia hoja ya Mhe. Mpina. Hivi Bunge letu lina matatizo gan?. Time will tell.