Mpina yuko sahihi, Wizara walitaja Idadi ya mikataba bila kutaja jina la mkataba na thamani ya kila mkataba

Mkuu, bado hujajibu swali la msingi. Kwahiyo aliyekosea hapaswi kurekebika?
Alikua mbunge wa kawaida alikua Mpiga kelele sana enzi mwenyekiti wa kamati ya biashara na viwanda. Alipopewa unaibu-waziri 2015 akasaliti yote aliyosimamia.
Hoja iwe hivi; Mpina sio sehemu ya serikali kwa sasa! Kiapo chake ni kwaajili ya wananchi na nchi kwa ujumla wake, SIO JUKUMU LAKE KUTUNZA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI.
Sio kweli, kwa katiba yetu waziri lazima awe mbunge so Kila mbunge ni potential waziri tofauti na Kenya kwamba ukiamua kuwa mbunge huwezi kuwa waziri. Ndio maana wapiga kelele wote kuanzia Nape, Bashe, na Mpina walipopewa uwaziri wakakaa kimya kulamba asali. Ila kabla ya hapo walikua moto kweli utadhani wazalendo.
Ndani ya Baraza, Boss ni mmoja, na ndio mfumo ulivyo, huwezi kumu-outclass boss, iwe siasani au ajirani sio?
Sasa kama anajua Hilo anategemea huyo waziri afanyeje kama yeye alishindwa kumpinga rais? Si ndio unafiki naousemea huu. Kitu alichoshindwa yeye mwingine atawezaje?
Yeye anataka uwazi si ndio, issue sio kuongelea nje ya baraza la mawaziri. Issue ni yeye Mpina akiwa waziri wa uvuvi obviously Kuna miradi mingi tu ya blue economy Ali sign je Kuna ambao ameuleta bungeni? Kama hakuuleta kwanini anajifanya ndio ana uchungu na mikataba kuwa wazi Leo?
Lisu, Mbowe, wamepewa walivyovikosa, leo wanaongea nini?
Hawa hawajapewa kitu vyote walivyopewa iwe ruzuku, stahiki ya matibabu au mikutano zipo kisheria hakuna favor so sio mfano sahihi. Kingine hao kina Zitto au Mbowe hajawapewa uwaziri au Urais so hawana mamlaka ya kufanya maamuzi. So mfano ni irrelevant
 
Yeye alipokua waziri aliwahi fanya hivyo??. Sheria ya TEITI inataka mikataba ya extractive industry iwekwe hadharani yaani page zote kama ni 1000 zisomwe na kamati za bunge. Cha kushangaza yeye hakuwahi peleka hata mkataba mmoja. Eti Leo Hana uwaziri ndio anajifanya ana uchungu na usiri wa mikataba? Huu unafiki ndio tunaupinga.

Usidanganyike ndugu hakuna mwana CCM ana uchungu na mikataba kuwa Siri. Kinachomuuma ni kwamba mikataba ya Siri wanaofaidika nayo ni waliopo Serikalini yeye hapati mgao. Ila akipewa uwaziri unadhani ataileta hiyo mikataba?? Kama alishindwa akiwa waziri ataweza sahivi?
 
Ukweli NDIYO huo kuwa huyo mnafiki na mzandiki Mpina anausaka uwaziri and nothing else. Alipokuwa waziri wa uvuvi alitesa Sana wananchi hadi tukawa tunakosa samaki na dagaa tokana na yeye kuwachomea wavuvi vitendea kazi na alizuia raia kusafirisha dagaa hata wa kula.
 
Lakini anachokijadili ni siri za baraza au vitu vilivyowekwa wazi na CAG?

Hakuna sheria ya kulinda confidentiality ya taarifa uzipatazo ukiwa nafasi fulani kisha ukatoka?

Ukizungumza maadili una maanisha nini?
  • Tume ya maadili ina maadili?
  • TAKUKURU ipo namba ngapi kati ya taasisi zinazoongoza kwa rushwa na ubadhirifu?
  • Polisi haikutajwa kwenye rushwa na uvunjifu wa haki?
  • Mahakama si ndo mama lao kwa kila kitu?

Ni kina nani waliitwa STUPID, WAPUMBAVU?

Leo unajua kuwa Mwigulu kakopa 1.28trillion kiholela tu bila idhini ya Bunge, 1.7 trillion kalala nazo mbele kwa mujibu wa Mpina, kutokana na taarifa ya CAG.

Sasa, nani bora, yule anayekwapua na kusubiri nafasi nyingine kukwapua, au aliyekwapua, hana nafasi, anawajuza na kuanika ukwapuaji hadharani?

  • Waziri walioiba na kusema ni VIJISENTI au HELA YA MBOGA? Au anayetaka BUNGE lijadili waganga wa kienyeji?
  • Raisi aliyekopa Tzs trilioni 7 na hazikuingia serikalini kwa mujibu wa BBC, CAG hana habari!

Ukumbuke hiyo pia ni hulka ya Watanzania wezi wengi, Lowasa hakutoka tu hivi hivi, waligombana ndani huko, wenyewe kwa wenyewe, sis tukaijua Richmond mpaka akina Ruge.
 
Sasa nimeanza kuona na kukubali kuwa kifo cha JPM ni hasara ya Karne moja wa watanganyika.
 
Atateuliwa kuwa Balozi iki akae mbali na mama.

Mama anapaswa kula kwa utulivu.

Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…