Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano.

Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani.

Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta upinzani toka ndani yao wenyewe?

Hoja za wapinzani hazina mashiko hadi ziwahangaishe na kuwatesa CCM kuzijibu?
 
Sahihi kabisa
 
Bungeni zile ni Sanaa tu kuwa hadaa wapiga kura hamna hatua zozote watafanya pale, na Tz tulivo wasahulifu tunaona tunawawakilishi kumbe ni utapeli tu
 

Una yako tu. Bungeni wamejaa wabunge wa CCM , ulitaka wapinzani waingie bungeni?. Punguza unafiki.
 
Mkianza kupigana CCM kwa CCM ndio mnakumbuka upinzani upo. Very stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…