CCM vs Tanzania sasa haya mashindano ya watu kuhujumu nyumba wanayoishi kwa kujisahaulisha kama wenyewe nao wanakaa ndani ya nyumba.
Tatizo sio mauaji au utekaji wa watu ndani ya nyumba Tanzania bali kuwasha moto na kufikiri wenyewe watabaki na nyumba !!!! kumbe itaondoka na wote