Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Bob Wine ameingia kwenye siasa za upinzani wa kweli nchini Uganda sasa ni miaka 3.kwa muda huo mfupi ameonyesha kumpinga rais wa Uganda mh Mseven kwa vitendo bila kuogoapa.
Mseven kwa kutumia maguvu ya serikali yake juu ya mpinzani wake amekamatwa zaidi ya mara 20 na kutiwa misuko suko mingi lkn hadi leo hii Bob Wine anasema hatoogopa hadi awakomboe waganda.
Hapa Tanzania mpinzani wa kweli ni mh Mbowe, Mh Lissu, Mh Mnyika ambao wamejitoa kiukweli kuwapigania watanzania ili wapate haki zao za msingi.
Wamehukumiwa kifungo, wameharibiwa mali zao halali, wamezalilishwa ikiwa ni kuwaziba midomo na kuwakatisha tamaa lkn hadi leo wamesimama na Watanzania.
Hongereni sana kwa wapinzani wa kweli wa hapa Tanzania na wa pale nchini Uganda.