Elections 2010 Mpinzani wa Sugu Kalazwa Pressure juu chini(Mix pressure)

Elections 2010 Mpinzani wa Sugu Kalazwa Pressure juu chini(Mix pressure)

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Jamani jamaa angu ambae yuko huko Kwa mzee SUGU, Mpinzani wake kalazwa PRESURE imeteremka bila speeed Govarnor, mwenye habari kamili jamani amwage hapa.....
 
Huyo jamaa alikuwa hakupata ushauri nasaha wa kupokea matokeo mema au mabaya? Pole yake! Mwendo mdundo chadema.
 
May he get well soon ili asign kukubali kushindwa
 
Wewe si ndiye umetuletea habari, kwani vyanzo vyako vinasemaje?
 
Oooooh come on guys,leteni taarifa zinazojitosheleza,husemi source yako.tuache utani
 
sugu akishinda mbeya itakuwa shwari mnoo. sugu moto chini ahahaaaaaaaa
 
Mwaka huu!!! wengi zitawashuka hadi ziwe kama za ndege,, unaifahamu BP ya ndege ni ngapi wewe?? acha tu
 
Sugu mbeya yake....wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tunduma matokeo ya awali chadema 28,000 ccm 200 ni uraisi na ubunge
 
Na bado, wengi sana usiku huu utasikia wamelazwa. Kimbunga ndo hicho kinakuja kuiteketeza ngome ya mafisadi
 
Jamani leteni matokeo ya kweli tuko mbali na nchi na hiki ndicho chombp pekeee tunachokitegemea juu ya matokeo
mapinguzi daimaaaa
 
Back
Top Bottom