Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ilete yako iliyo bora tupite nayoTimu za hovyo, bure kabisa!
Huwezi kupita nayo sababu ipo kwenye ligi ya kiumeIlete yako iliyo bora tupite nayo
Nilivyoona neno 'Super' nikadhani Yanga imeongezwa kwenye timu zitakazocheza Super LeagueMpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlidhani hivyo piaNilivyoona neno 'Super' nikadhani Yanga imeongezwa kwenye timu zitakazocheza Super League
Sikupatii picha ulivyoruka Kwa preshaNilivyoona neno 'Super' nikadhani Yanga imeongezwa kwenye timu zitakazocheza Super League
Nawasubiri NBC premier league tarehe 16 siyo mbaliHuwezi kupita nayo sababu ipo kwenye ligi ya kiume
Nasisi tuna kungoja tukupige sabaNawasubiri NBC premier league tarehe 16 siyo mbali
AaaahaaaaaNasisi tuna kungoja tukupige saba
Simba apate timu ngumu hasa waarabu Ili amunyooshe Ili wapaogope TanzaniaKiukweli kabisa ninamuomba sana Mungu timu zetu zivuke hiyo hatua au moja wapo tu hiyo kuishia hapo hapo kila competition huwa jau na sisi tuweke heshima.
Kama huo uwezo wanao ni vyema wakafanya hivyo. Sasa utaendelea kuziogopa mpaka lini? Sasa ukihofu hao huo ubingwa utauchukua, ukiona huvuki hapo kila uchao jua wewe bado hivyo ni kutazama wapi unafeli.Simba apate timu ngumu hasa waarabu Ili amunyooshe Ili wapaogope Tanzania
Acha tusubirie wa kwetu keshoKama huo uwezo wanao ni vyema wakafanya hivyo. Sasa utaendelea kuziogopa mpaka lini? Sasa ukihofu hao huo ubingwa utauchukua, ukiona huvuki hapo kila uchao jua wewe bado hivyo ni kutazama wapi unafeli.
Dah, Watanzania bhana!Timu za hovyo, bure kabisa!
AahaahaaDah, Watanzania bhana!
Utakandwa tano tena au ushasahau mkonoIlete yako iliyo bora tupite nayo
Wana wish wangekuwepo super cup kama mnyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlidhani hivyo pia
Kabla sijakujibuKwa waliofeli vilaza la Saba F, vipi mumeo Simba yupo kombe gani Africa