Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

42zzxo8r.png


haya CAF wamewatabiria mtakaowania kombe
 
Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni:

1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore

2)Rivers United-Nigeria

3)Marumo Gallants-South Africa

4)Young Africans-Tanzania

5)AS Far Club-Morocco

6)Pyramids-Egypt

7)US Monastrienne-Tunisia

8)USM Alger-Algeria

Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na nne za chini ya Jangwa la Sahara
Je,ni nani ataangukia mikononi Mwa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania!?

NB:
Rivers waombe wapishane na kikombe Cha Yanga,wakikipata ni lazima tulipe kisasiView attachment 2576216View attachment 2576217
ila pia najaribu kiziangalia hizo timu na sioni wa kumzuia yanga kubeba kombe
 
Ahaa kesho ndo watoto wanapangiwa ratiba ya kurukaruka,ok..haya kaka zao lini hiyo ratiba yao??
 
Back
Top Bottom