Mpinzani wa Trump, Ilhan Omar ashinda kwa kishindo uchaguzi wa awali

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura.

Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Israel.

1786696191191.png

============

Minnesota Congresswoman Ilhan Omar has secured the Democratic nomination for reelection in Tuesday's primary, CBS News projects.

Omar captured over 80% of the votes in the 5th Congressional District, which she has represented in the U.S. House since 2018. The 5th is the most Democratic district in Minnesota and in the entire nation.

Her opponents were Julie T. Le, Abena McKenzie, Latonya Reeves and Nate Schluter.

Omar, who says a top priority for her remains fighting President Trump's immigration crackdown, won her last general election by 50 percentage points, and the 2024 primary by 13 points. Those are among the reasons why this year, for the first time, she didn't face a major primary opponent.

In the Republican primary for Omar's seat, John Nagel was projected to win with 52.1% of the vote.

Source: CBS News
 
Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura.

Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Israel.

View attachment 3649156
Wewe ni mjinga. Ilhan Omar lini amekuwa seneta?
 
Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura.

Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Israel.

View attachment 3649156
Punguza uongo sio seneta.
 
Hao wanasiasa wa kiislam wa Marekani wanafanya kazi kwa kufuata sheria za Marekani na wala sio sharia kwani Marekani haina sheria za kiarabu za karne ya saba.

Kwa hiyo wale islamist jihadists wanaoshangilia wanapaswa kulijua hilo kwamba Marekani haina sheria za kidini za karne hizo.

Ina maana huyo mwanamke hata itokee miujiza leo awe ni rais wa Marekani lakini uislamu wake atauacha hukohuko masjid ubwabwa na hakuna atakayejua kwamba ni muislamu hadi atakapotoka madarakani.

United States is a democratic and a secular state that upholds the people's freedom of worship, assembly, association, expression and other civil rights as enshrined in the country's constitution.
 
Unatamani ilhan angekosa ila tu ndio kaishapita
Safari hii wazayuni wa jf mutajamba sanaaaaaaa
 
Hao wanasiasa wa kiislam wa Marekani wanafanya kazi kwa kufuata sheria za Marekani na wala sio sharia kwani Marekani haina sheria za kiarabu za karne ya saba.

Kwa hiyo wale islamist jihadists wanaoshangilia wanapaswa kulijua hilo kwamba Marekani haina sheria za kidini za karne hizo.

Ina maana huyo mwanamke hata itokee miujiza leo awe ni rais wa Marekani lakini uislamu wake atauacha hukohuko masjid ubwabwa na hakuna atakayejua kwamba ni muislamu hadi atakapotoka madarakani.

United States is a democratic and a secular state that upholds the people's freedom of worship, assembly, association, expression and other civil rights as enshrined in the country's constitution.
Kwhy ukila ubwabwa weeh ni muislam?
 
Back
Top Bottom