son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Uyo ni Mbunge wa Marekani (U.S. Representative) katika House of Representatives, si Seneta wala waziriNi Seneta au ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi?
Wewe ni mjinga. Ilhan Omar lini amekuwa seneta?Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura.
Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Israel.
View attachment 3649156
Punguza uongo sio seneta.Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura.
Ilhan Omar alishiriki uchaguzi huo bila kuungwa mkono na AIPAC, kundi lenye ushawishi katika siasa za Marekani linalounga mkono uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Israel.
View attachment 3649156
Unatamani ilhan angekosa ila tu ndio kaishapitaHao wanasiasa wa kiislam wa Marekani wanafanya kazi kwa kufuata sheria za Marekani na wala sio sharia kwani Marekani haina sheria za kiarabu za karne ya saba.
Kwa hiyo wale islamist jihadists wanaoshangilia wanapaswa kulijua hilo kwamba Marekani haina sheria za kidini za karne hizo.
Ina maana huyo mwanamke hata itokee miujiza leo awe ni rais wa Marekani lakini uislamu wake atauacha hukohuko masjid ubwabwa na hakuna atakayejua kwamba ni muislamu hadi atakapotoka madarakani.
United States is a democratic and a secular state that upholds the people's freedom of worship, assembly, association, expression and other civil rights as enshrined in the country's constitution.
Kwhy ukila ubwabwa weeh ni muislam?Hao wanasiasa wa kiislam wa Marekani wanafanya kazi kwa kufuata sheria za Marekani na wala sio sharia kwani Marekani haina sheria za kiarabu za karne ya saba.
Kwa hiyo wale islamist jihadists wanaoshangilia wanapaswa kulijua hilo kwamba Marekani haina sheria za kidini za karne hizo.
Ina maana huyo mwanamke hata itokee miujiza leo awe ni rais wa Marekani lakini uislamu wake atauacha hukohuko masjid ubwabwa na hakuna atakayejua kwamba ni muislamu hadi atakapotoka madarakani.
United States is a democratic and a secular state that upholds the people's freedom of worship, assembly, association, expression and other civil rights as enshrined in the country's constitution.
Waulize wenyewe.Kwhy ukila ubwabwa weeh ni muislam?
Jibu wewe weeh fala..Waulize wenyewe.
Nimeshangaa piaNi Seneta au ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi?