sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni dhahiri kabisa mzee huyu hatamweza Trump, yupo serikalini kwa zaidi ya miaka 50 lakini hana idea kabisa na current events, sio mara ya kwanza na ni wazi kabisa ana ugonjwa wa kumbukumbu ikiambatana na kuwa na hasira za karibu.
hata hivyo vyombo vinavyoongoza kwa kumtungia trump habari mbaya kama cnn, msnbc, n.k hawajaripoti tukio hili
kiufupi jina lake kwa kirefu lina maana ya best idiot democrats ever nominated 😀😀
Kwa hali hii trump atashinda kwa kishindo kikubwa sana, Pia nawakumbusha tu ile rally ya Trump iliyopata wahudhuriaji wachache elf 6 ilikiwa kwasababu ya vurugu zinazochochewa na democrats ili kuhalalisha anarchy mitaani, hiki kitu kilipelekea watu wabaki majumbani mwao wacheki rally ya trump kwa Tv kitu kilochofanya rally ya trump ivunje rekodi ya watazamaji wengi zaidi (zaidi ya milioni 7) kwenye kituo kinachoongoza kutazamwa marekani FOX NEWS