Mpinzani wa Trump, Joe Biden asema Wamarekani Milioni 120 Corona imewaua

Mpinzani wa Trump, Joe Biden asema Wamarekani Milioni 120 Corona imewaua

Nna mashaka na hii sauti kama yakutengeneza mbona !?.....

Nliposikia jamaa anaongelea kasema yakwamba zaidi ya wa USA 120M wamepatikana na Koronya nasio kufa...
 
dudu jeupe,

Joe Biden ana matatizo ya figures, sana tu.. Sio mara ya kwanza hiyo, nadhani anamaanisha 120,000 died

Listen this clip, alikosea tena, mara nyingi tu anakosea
 
Biden atakuwa na shida au laana ile chama chake democratic cha mashoga,
 
Mimi nahisi haya ndio yanaitwa matokeo yakupangwa yaan elites bado wanamtaka Trump aendelee kuinyoosha dunia ndio maana wanaweka weak candidate kwa upinzan wakijua kabisa kwamba hata shinda
 
Mm nahis haya ndio yanaitwa matokeo yakupangwa yaan elites bado wanamtaka Trump aendelee kuinyoosha dunia ndio maana wanaweka weak candidate kwa upinzan wakijua kabisa kwamba hata shinda
exactly my thought.......

Japo naona hizi kelele za mitandaoni ni kutaka kumtisha ili alegeze msimamo baadhi ya mambo!
 
Back
Top Bottom