πππ
Hizo polls zinafanyikaga sebuleni kwa clinton wala sio kwa kila mmarekani.
Polls za 2016 kama hizo ulizoweka hazikumstopisha trumpππ
I'm with you.I wholeheartedly support what you've written. But still anything can happen in US politics. So I won't be shocked if Trump loses and I wouldn't be surprised at all if he wins.
exactly my thought.......Mm nahis haya ndio yanaitwa matokeo yakupangwa yaan elites bado wanamtaka Trump aendelee kuinyoosha dunia ndio maana wanaweka weak candidate kwa upinzan wakijua kabisa kwamba hata shinda