Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, ngoja jembe langu ,Swedi Mkwabi awe kiongoziAaah! Wape tu Mikia maana hao wazee ni wa kuwania wania maana wakishasikia tu Yanga anamtaka fulani basi macho na masikio wanaelekeza huko. Teh teh
Nyie chekeni tu, ila tambueni tu anayecheka mwisho ndie anayefaidi.Kumekucha hasaaaa. Zamu yetu kutamba Mtani. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Haijalishi tuna tugoli tungapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We waache tu dawa ya chura si unaijua, ni kuhakikisha either maji yanakua yamoto au unamwondoa kwenye Maji.Yaani ligi hata haijafika robo mmeanza kuongea?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Kuumbe.Nyie chekeni tu, ila tambueni tu anayecheka mwisho ndie anayefaidi.
Hahahaaaa. Ila angalia isije kuwa kinyume chake tu Swahiba maana waeza kuta mtu anacheka mwanzo mwisho yaani NO kununa.We waache tu dawa ya chura si unaijua, ni kuhakikisha either maji yanakua yamoto au unamwondoa kwenye Maji.
Kucheka ni kwa zamu sie tutacheka mwishoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Kuumbe.
Hivi Swahiba na weye ni mshabiki wa Mikia eee. Pole jamaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa. Ila angalia isije kuwa kinyume chake tu Swahiba maana waeza kuta mtu anacheka mwanzo mwisho yaani NO kununa.
Tukianza kwenda mikoani tunaanza ile fomesheni tuliowachezea mikiaHahahaaaa. Ndio wakae wakijua Zahera si Mtu mzuri Swahiba.
Hahahaa. Tusubiri tuone Swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba pole ya nini tena.
Mimi ni mshabiki nambari one wa Supa brandi ya nchi, mimi kuachia ubingwa sahau kabisa.
Hahahaha hakika kwa ninavyokupenda na kukujali mtani, nikishakabidhiwa ndoo ntajitahidi nikumegee hata kakipisi ili ufute hata machozi (anayecheka mwanzo hulia mwishoni).Hahahaa. Tusubiri tuone Swahiba.
Maana hapo ndio tutaandikia wino.
HAHAHAAA KUKUMBUSHANAA TU MKUU YALE MAREDE YA MAGOLI KUMI WOTE TUMEPATA PTS SITAYanga bhana wameifunga lipuli kagoli kamoja kwa mbiiiiinde alafu haka kajamaa kanakuja kuongea utumbo hapa, hii ni hofu munaiogopa simba inagawa dozi na safari ijayo mta fyekelewa mbaaaaaali.
Dua la kuku....Hahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa tochi.. Na kamwe hamtotupata.
Mkuu ungepiga kipyenga kuashiria offsideMnafunga goli la offside mnashangilia?! Narudia hizi mbwembwe zina mwisho wake.
Wewe ni nani wa kuamua furaha yetu iwe sasa na baadae tusiwe na furaha.Furaha yenu ni ya muda tu Hajar mambo yatakapoanza kugeuka huo mnuno wake sijui itakuaje, kama nakuona vileπππ