MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

Hahahaaa. Kuumbe.

Hivi Swahiba na weye ni mshabiki wa Mikia eee. Pole jamaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba pole ya nini tena.
Mimi ni mshabiki nambari one wa Supa brandi ya nchi, mimi kuachia ubingwa sahau kabisa.
 
Hahahaa. Tusubiri tuone Swahiba.

Maana hapo ndio tutaandikia wino.
Hahahaha hakika kwa ninavyokupenda na kukujali mtani, nikishakabidhiwa ndoo ntajitahidi nikumegee hata kakipisi ili ufute hata machozi (anayecheka mwanzo hulia mwishoni).
 
Yanga bhana wameifunga lipuli kagoli kamoja kwa mbiiiiinde alafu haka kajamaa kanakuja kuongea utumbo hapa, hii ni hofu munaiogopa simba inagawa dozi na safari ijayo mta fyekelewa mbaaaaaali.
HAHAHAAA KUKUMBUSHANAA TU MKUU YALE MAREDE YA MAGOLI KUMI WOTE TUMEPATA PTS SITA
 
MNAPOELEKEA NA MTASHABIKIA KOKOROO ZA 200 MAANA HAYA MAGOLI MKIPULIZWA MECHI MOJA TU SHANGA KIUNONII
 
Yanga kama dume suruali,anachojari ni kumkojolea mkewe kagori kamoja kama kuku,hoi hakuna burudani. Wakati Simba anakamua cum mara 5. Anampa raha mkewe anamfikisha heaven huko kwa mastyle
 
MPIGAJI
Hahahaha, ngoja jembe langu ,Swedi Mkwabi awe kiongozi
KAMA WENGINE ATAKACHOFANYA NAMPENDA ANAPENDA MASLAH YA WACHEZAJI MPE ENERGY POPOTE ALIPO NAMKARIBISHA MPWA WANGU
 
KAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0
PTS 3
NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ


DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA


HAPO NDIPO NAHESHIMU HESABU

10+10 #6

PRV 1+1 # 6
 
Back
Top Bottom