Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeeeeeeee. Siamini macho yangu.Duuuh...!
@pdidy is back! Nilikumiss mpwaKAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0
PTS 3
NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ
DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA
Nimekuita tu nije nione mnavyotambiana hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niambe mdogo wangu?
Mdogo mdogo tu.
Watuwache na vigoli vyetu kikubwa point tatu. 😂😂😂Nimekuita tu nije nione mnavyotambiana hapa
Ikifika zamu ya mpira sio chenga na pasi nyingi bali ni magoli, usiache kunishtua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watuwache na vigoli vyetu kikubwa point tatu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Losers anthemKAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0
PTS 3
NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ
DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA
Hahahaaaa. Usijali mdogo wangu ntakwita.Ikifika zamu ya mpira sio chenga na pasi nyingi bali ni magoli, usiache kunishtua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa tochi.. Na kamwe hamtotupata.Hahahaaa. Kisha wanataaamba na kujifananisha na Barca wakati ni vitu viwili tofauti.
sembo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hapo tunahamia kwenye magoli sasa, point zikiwa sawa wanaangalia utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.Hahahaaaa. Usijali mdogo wangu ntakwita.
Japo hizo chenga na pasi huwa naziita mbwembwe tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Barca inafananishwa na kitu cha ajabu kabisa. HaahahaHahahaaa. Kisha wanataaamba na kujifananisha na Barca wakati ni vitu viwili tofauti.
sembo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga hawalijui hili.. Ila soon tutakuatana nao kileleni, alafu tuone nani atakua juu.Ndio hapo tunahamia kwenye magoli sasa, point zikiwa sawa wanaangalia utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.
Magoli ni muhimu si ya kubeza