Mpira bahasha, mpira Tigo Pesa

Kama Panadol imeshindwa Kutoa MAUMIVU...!

nasikiaga kuna Dawa Inaitwa diklofenaki, ijaribu Ndg yangu..!

Huwezi jua Utaponea Dawa gani?

Simba hii itaua Watu Kwa MAUMIVU..!
 
Kama Panadol imeshindwa Kutoa MAUMIVU...!

nasikiaga kuna Dawa Inaitwa diklofenaki, ijaribu Ndg yangu..!

Huwezi jua Utaponea Dawa gani?

Simba hii itaua Watu Kwa MAUMIVU..!
Msipendelee Sana kutumia declofenac
 
Mi katika team inayonifurahisha ni yanga yaani hyo unbeaten ya mchongo na kushinda kwa bahasha na kubahatisha kule kwa waarabu wanaona team yao ishakuwa Barcelona kumbe hamna team mbovu kama yanga Caf confederation cup litakuwa somo zuri kwao maana najua hata hapa watabisha wachezaji wote wana vitambi mwinyi zahera alishawaonya na pitso mosimane ila wameweka pamba ushindi wa bahasha unawalewesha wanajiona wana team.
 
Wazee wa porojo na proaganda, hatimaye wameingia wenyewe kwenye 18.
 
Nilisema hapa juzi, ipo siku Simba itashinda halafu itadhalilika yenyewe. Yaani itacheza vizuri, itatawala mchezo, itafunga goli nyingi halafu itaona aibu kutamba nazo.
Simba Jana ilicheza vizuri na imeshinda kihalali japo goli la Kwanza mwamuzi Msaidizi kawazawadia. Lakini kitendo cha kuwa timu ya propaganda Hadi Msemaji wao ambaye ni kiongozi mkubwa wa timu nilijua ipo siku kitawarudia na Leo imetimia. Propaganda za kihuni za Washangiliaji kutuhumu timu nyingine Leo zimewafanya washinde lakini wanyong'onyee.

Cc Scars: Nilikwambia humu JF wewe ni shabiki wa Simba unayeheshimika, achana na Washangiliaji maana siyo level yako. Appreciate kiwango cha mpinzani wako au kaa kimya inatosha kukufanya uonekana shabiki. Lakini kuungana na wapiga kelele kunakushusha Sana.
Sisi tulio neutral Kwa timu za Kariakoo tunawashangaa Sana na propaganda zenu maana soka ni mchezo wa Wazi.
Mmeshinda Kwa kishindo, mnaona aibu kutoka nje. Yaani mnaona ushindi wenu kama wa CCM 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…