Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Simba Sc kwa ushindi mnonoView attachment 2421405View attachment 2421407View attachment 2421408View attachment 2421409View attachment 2421410
Msipendelee Sana kutumia declofenacKama Panadol imeshindwa Kutoa MAUMIVU...!
nasikiaga kuna Dawa Inaitwa diklofenaki, ijaribu Ndg yangu..!
Huwezi jua Utaponea Dawa gani?
Simba hii itaua Watu Kwa MAUMIVU..!
Nilisema hapa juzi, ipo siku Simba itashinda halafu itadhalilika yenyewe. Yaani itacheza vizuri, itatawala mchezo, itafunga goli nyingi halafu itaona aibu kutamba nazo.Mi katika team inayonifurahisha ni yanga yaani hyo unbeaten ya mchongo na kushinda kwa bahasha na kubahatisha kule kwa waarabu wanaona team yao ishakuwa Barcelona kumbe hamna team mbovu kama yanga Caf confederation cup litakuwa somo zuri kwao maana najua hata hapa watabisha wachezaji wote wana vitambi mwinyi zahera alishawaonya na pitso mosimane ila wameweka pamba ushindi wa bahasha unawalewesha wanajiona wana team.