The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wanasimba pamoja na kuipongeza timu Kwa ushindi mnono.
Msisahau kumshauri mgunda kuhusu mpira halisi wa Simba.
Miaka 3 nyuma Simba ilisifika Kwa pira Biriani pira udambwi udambwi. Pira pass Mia. Zinapigwa pasi Hadi watu wanafika golini mashabiki wameshashangilia Hadi basi ndo akina Chama hao enzi zao.
Huu mfumo wa sasa pasi 3 goli ni mfumo ambao unachosha sana wachezaji maana wanatumia nguvu nyingi maana ni mpira wa kasi mno.
Timu zote, zinazofanya vizuri udambwiudambwi lazima uwepo. Check city na arsenal mpaka watu wanafika golini shuguli imetendeka. Hapa katikati mpira wa hesabu nyingi.
Huu mfumo wa ounter ukikutana na wajanja wanaojua kublock mipira mirefu Simba itakuwa na wakati mgumu sana tofauti na wangetumia pass fupi fupi.
Simba SC jitahidini kurudia mfumo wenu ili hata wale wachezaji wazuri wasiokuwa na speed muweze kuwa accomodate maana mfumo wa sasa nchezaji asiyekuwa na speed Hana sifa.