Nawewe unaandika mada kama umemwagiwa maji ya pilipili mada haina mbele wala nyuma.Kwelii inaumiza sana namagoli aliyokuwa anafunga UK Leo hiianaiishia kukumbatia wanaofunga huko fc barca jamani jamani inaumiza sana!!najiuliza no Amepigwa msumari aka???