Mpira hauna adabu kweli leo hii Suarez anafanya kazi yakukumbatia wanaofunga

Mpira hauna adabu kweli leo hii Suarez anafanya kazi yakukumbatia wanaofunga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwelii inaumiza sana namagoli aliyokuwa anafunga UK Leo hiianaiishia kukumbatia wanaofunga huko fc barca jamani jamani inaumiza sana!!najiuliza no Amepigwa msumari aka???
 
Kwelii inaumiza sana namagoli aliyokuwa anafunga UK Leo hiianaiishia kukumbatia wanaofunga huko fc barca jamani jamani inaumiza sana!!najiuliza no Amepigwa msumari aka???
Nawewe unaandika mada kama umemwagiwa maji ya pilipili mada haina mbele wala nyuma.
 
Hehehee..mda si mrefu utaanza kusikia kwenye media `suarez hana raha kwenye timu yake, anafikiria kurudi epl`
 
Anacheza kwa kivuli cha Messi na Neymar ambao timu imeundwa ikiwazunguka, aliambiwa aje Arsenal apachike mabao ya wazi akadengua...
 
Ila hajakaa kwenye kiwango kutokana na ile ban ya mda mrefu, pia anachezeshwa kama striker ila anashindwa kufunga magoli peke yake..no one to blame
 
watu wasiofuatilia mpira wanaandika ujinga. ana assist nyingi. bora kukaa benchi barca kuliko kucheza arsenal
 
Back
Top Bottom