Mpira ni haram

Mpira ni haram

1968......…Yanga 5-0 Simba

1977.......... Simba 6-0 Yanga

2012…...... Simba 5-0 Yanga

2020...........Simba 4-1 Yanga( kombe la Azam)

2023....... Simba 1-5 Yanga

Hakuna Jambo jipya CHINI ya Anga.

Sema tu anaefurahi leo anafurahi zaidi na machungu alishayasahau.
Aloooo!!! Upo sahih mdau
 
Wewe unaijua dini kuliko hau waarabu waioanzisha dini na vilabu wanavyo?
 
Nakazia>>> MPIRA HARAMU
Chochote chenye kumpelekea mtu kwenye haramu nacho ni haramu
 
1968......…Yanga 5-0 Simba

1977.......... Simba 6-0 Yanga

2012…...... Simba 5-0 Yanga

2020...........Simba 4-1 Yanga( kombe la Azam)

2023....... Simba 1-5 Yanga

Hakuna Jambo jipya CHINI ya Anga.

Sema tu anaefurahi leo anafurahi zaidi na machungu alishayasahau.
sawa wazee wa historia
 
Back
Top Bottom