Mpira ni Matokeo au Burudani ?

Mpira ni Matokeo au Burudani ?

Sasa naona unambwelambwela tu, mwanzoni kabisa nilikuomba maana ya negative football kuzuia hizi sarakasi, kama mwanasiasa ukalikwepa hilo, sasa kuna sababu zinazokufanya uandike porojo hizi

Mkuu sasa kama hata hatujui maana ya negative football naona hatuna sababu hata ya kuendelea..., Football mwisho wa siku impectus ni kuhakikisha unafunga magoli kwa opponent wako, kwahio tactics zako zikiwa mwisho wa siku ni attacking ili ufunge as much as possible that is positive.., impectus ikiwa ni kuhakikisha haufungwi that is negative tactics sasa coach mzuri ni kupata balance nzuri, wengine wanabuild their team from defence kwenda mbele (sio mbaya na ina uzuri wake) na kama wanatumia counter za nguvu na pace pia inaweza ikavutia..wengine wanatengeneza Timu ya Attacking ila nyuma wanavuja hii pia sio nzuri kwa Team..(sababu defending is also an art), Ila wapo wale wanaokuja kwa kupaki basi mwanzo mwisho kuhakikisha/kusubiri mwingine afanye kakosa ili wa-capitalize walau wapati kagoli kamoja waendelee kupaki basi au ikishindikana basi draw itatosha...

1.Hujui kuwa vitu kama burudani, kuboa, ni subjective, burudani yako wewe inaweza kuwa kero kwangu, kinachoniburudisha mimi kinaweza kuwa kinamboa juve2012, halafu sidhani kama mpira unaweza kuburudisha watu wakaridhika kama wanafungwa lakini wanacheza mpira mzuri
Ndio maana hapa nikaongelea Neutrals na nikatoa mfano wa Arsenal ilivyokuwa Boring Boring Arsenal / One Nil to the Gunners na sasa hivi ilivyo.., wapi Neutrals waliipenda ?, au ni wangapi walikuwa wanatune kuangalia Barca ili tu wamwone mchawi Ronaldinho akifanya uchawi wake ?, au Bolton ilivyomsign Okocha.., pamoja na 19th century tactics za Sam lakini watu waliipenda Bolton na waliiangalia sana ili tu waone uchawi na individual talent za Okocha.., kwahio overall as a Brand football needs this kind of people..., they Neutrals needs something more than just a result of either side..

2.Huna data za kutosha kuhusiana na vitu unavyojifanya unajua, kwa mfano kuhusiana na Serie A, hujui sababu zilizolifanya soccer la Italia kufikia hapo lilipo, umekazana na negative football ambayo hata maana yake huna au hujui
Sasa wewe unajiita expert wa Italian football lete data zako.., Serie A na Italian Coaches tangia kitambo wanaweka msisitizo kwenye a strong defense thats a fact (ingawa defending does not necessarily mean kwamba ni kupaki basi) ila mfano niliotoa kuhusu Serie A ni kwamba goals per game sio nyingi kama lets say Premier League; Ni kama vile Premier league / English wanavyokazania kuanzia mtoto anajifunza mpira akipata mpira ni movement ya kasi na sio kupiga piga chenga wala kukaa na mpira sana (tofauti na Spain) ndio maana watu kama kina Joe Cole anakwambia tangia anakuwa alikuwa anakuwa forced kubadilisha aina ya uchezaji.. Kumbuka Pia narudia Good defending sio lazima iwe mpira mbaya ila kuna ku-defend na kupaki basi.. tofauti ni kubwa..., Serie A tangia zamani defenders knows how to defend inayopelekea goals per game zisiwe nyingi tofauti na league ambayo ipo open yenye magoli mengi na facts zinaonyesha kwamba kwenye Top Leagues most watched Serie A comes 4th

3.umejivika uwakili wa kuwasemea watu bila ridhaa yao, eti watu wanapenda Barcelona akicheza ila umesahau wapo watu wengine wengi tu hawapendi mpira wa Barcelona. Wapo wanapenda mpira wa Barca, wa ATM, wa Chelsea, wa Juventus, wa B.Dortmund n.k ila wewe umechagua tu wale wa Barca na Madrid ku-generalize tu ili ku-support porojo zako

Hivi unajua watu wangapi huwa wana-tune kuangalia Barcelona worldwide ? Hivi unajua watu wangapi wanatune kumuangalia Messi kila Barca inapocheza ? hivi unajua Barcelona / La Liga inauza TV rights kiasi gani worldwide na wangapi wanaangalia ? au unataka nilete Data kutoka wapi ili zionekane kwamba ni Data

4.Umesahau soccer ni biashara
mwisho wa siku kinachomata kwenye soccer ni ushindi/points tatu mezani, hizo ndio zitakupa vikombe, medali na pesa zinazokusaidia kuendesha hizo club.
Ofcourse soka ni biashara ila biashara kwa nani ? Ngoja ni - break it down...

Sponsors wanaotegemea ni ligi gani inaangaliwa kiasi gani au competition ipi inaangaliwa kiasi gani ili waweze kumwaga pesa kiasi kulingana na brand ya Timu. Ni Biashara kwa TVs wanaochukua rights za kuonyesha mpira ili waweke matangazo yao na kuweza kulipa Ligi husika... kwahio kuna direct correlation kati ya watu/audience na sponsorship

Ni biashara kwa wachezaji husika ambao wanalipwa pesa kutokana na wanachokifanya na image rights pamoja na individual sponsorship

Tukiacha Team chache kama Man United (kabla Glaziers hawajaiweka kwenye madeni ya nguvu) au Timu zenye viwanja vikubwa vyenye capacity kubwa vinavyojaa kila game ni Timu chache sana zinazotengeza profit nyingi matumizi yake ni makubwa kuliko inavyoingiza sababu mwisho wa siku Timu haipo pale ili itengeneze pesa bali ipo pale kutoa burudani kwa mashabiki wake.., ndio maana kuna wafadhili wanaomwaga mapesa bila kutegemea kama pesa yao itarudi, au ndio maana Madrid City Council imeisaidia Real Madrid mara kadhaa isiingie kwenye matatizo ya pesa sababu kuwepo kwa Real ni sifa ya mji mzima...

Nadhani pia tumeona mambo ya results at all costs yalivyowa-cost timu kama Rangers, kushushwa daraja au portsmouth au hata Leeds United, kujaribu kutumia pesa ambazo hazipo. Kuna watu wanameshaona mbali kwamba huku kutumia pesa kiasi hiki kusipoangaliwa kunaweza kuzikumba Timu nyingi zaidi sababu this business is not a profit making business rather an entertaiment... (last sentence ni my own opinion by the way)
 
Ona sasa unaanza kujikaanga mwenyewe na kumwaga povu. Wapi ulisema mambo ya Runinga? Kama unasema watu kujaa viwanjani ni kutokana na culture ya eneo husika, huoni unajipinga mwenyewe kwamba negative football ndio imesababisha hayo?
Mkuu hivi maana ya most watched ni nini ? naanza kupata shaka na uelewa wako.., au kuwa most watched mpaka watu wawe uwanjani physically

Pace ni nini? Unaweza kuthibitisha kuwa ni "pace" tu ndio inayofanya EPL kuangaliwa sana duniani kupitia Runinga na si sababu nyingine?

Pace ni quick build up na hii ndio sifa ya Premier League, La Liga kuna slow build up play with lot of technical abilities, Italian League is defensive league.., ligi zote hizo hapo juu zina ma-superstars ambao wanaweza kuvutia watu kuangalia, Ligi zote hapo juu zina Big Teams zenye following kubwa sasa hapo tofauti kati ya Ligi na Ligi ni nini ? ni kipi kinachozitofautisha ?

Mwanzoni ulivyosema watu wanapenda soccer la Brazil hukusema National team, umebanwa kwa facts unaanza kurukaruka like a headless chicken. Unajua average capacity ya viwanja vya Brazil? Swala la watu kuja uwanjani halina uhusiano na capacity ya kiwanja (labla ungesema quality) hata kama kiwanja kina uwezo wa kubeba watu 30k, mahudhurio kwa wastani yakiwa hayafiki 15k hapo kuna tatizo, huhitaji kuumia kichwa kulijua hilo.
Kweli hapa nimeconfirm uelewa wako una mashaka..., hivi mtu akiongelea Brazil na Soka anamaanisha nini ? anamaanisha kina Sao Paulo au anamaamisha National Team ? nimeshakwambia kuingia uwanjani ni culture ya sehemu as well as Kipato cha watu, England nimekwambia hio ndio culture yao pia ndio pass time yao, hata Serie A yenyewe viwanja ndio huwa havijai kabisa ila pia na fujo zinazotokea mara kwa mara na security mbovu inachangia pia.., ndio maana nimesema most watched na kwa Brazil ni National Team

Kumbe unajua kuwa wakati mwingine watu wanavutiwa kuangalia soccer la team/ligi fulani kwa sababu ya mastaa, au mastaa ndio hiyo "pace" uliyokazana nayo? Kuna ligi ina foreigners wengi zaidi ya EPL
Foreigners ndio mastaa ? au ni ligi gani kati ya hizo kubwa hakuna Super Stars kwahio hapa Super Stars ni common denominator ipo kwenye Ligi kubwa zote..., au unataka kuniambia Premier League ina Super Stars kuliko League nyingine ? Alafu issue ya Foreigners Cyprus inaongoza na kuizidi hata EPL kwa foreigners ila sidhani kama hio imeifanya iwe most watched league
 
we tatizo lako thread yako imekaa kinafik nafiki zaid!" ungeanzisha bila kutaja chels cjui wamapaki basi final, ndio mana nikauliza gemu la atletico vs barcelona uliangalia?! uliona atletico walivyocheza?! siyo unashupalia chels chels!" 2achane na hay0 ........... nikuulize swali jingine " je unafikiri ni kw nn Moyes amefukuzwa?" na timu ilikua inacheza vizur hata hao chels hawaoni ndani.

Mkuu, mimi ile Game niliiangalia, lete hoja.
 
Japokuwa watu wengi wapo against na wewe ila mimi nakuunga mkono kwa asilimia kubwa. Kiukweli kuna kudefense ambapo unaingia uwanjani unakuta mambo yanabadilika na unaanza kukaba mwanzo mwisho na kuna kudefense ambapo unafahamu kuwa kesho uwanjani tunakaa golini kuanzia sekunde ya kwanza mpaka dakika ya 90. Kitendo cha Team yoyote ile ambayo inaingia uwanjani ikiwa na akili ya kupaki basi mimi naona sio burudani, na huu mchezo Mourinho anao sana tuu, kubalini kataeni ila huu ndo ukweli na najua ukweli mchungu, kwa chelsea sio Mourinho tuu aliewahi kuutumia hata Di Mateo katumia ila Mourinho huu mchezo ndo anaupenda zaidi.
 
Bila kuweka ushabiki pembeni mimi ni shabiki wa Barca, falsafa yao ya Tiki Taka inavutia sana tena sanaaaaa. Na mm hii style ndio inanifanya nipende kuangalia hii Team ikicheza kwa kila Mech. Ila Tiki Taka utaiona Chungu pale team pinzani imewapiga harafu wakapaki basi au nao wacheze mpira wa kawaida tuu bila kupaki basi japokuwa team nyingi zikiifunga Barca lazima zidefend. Nakumbuka ile Game ya Barca na Inter Milan niliondoka na hasira kali kutokana na Mourinho kuweka Kontena lake, ikaja tena ile Game ya Barca na Chelsea nilitamani niingie uwanjani nimwambie Guardiola abadili Style kwa muda ule maana Tiki Taka ilikuwa inaboa, Ball Possession 90 kwa 10 ila matuamini goli hakuna. Kupaki Basi kuwepo kama team imeingia uwanjani na baadae kuona mambo yamebadilika, tofauti na wao walivyodhania ILA SIO TEAM INAFANYA MAZOEZI WIKI HII WAKIPANIA KUWA WIKI IJAYO WANAENDA KUSHUSHA KONTENA. HUO NI UJINGA. MPIRA NI BURUDANI.
 
bila kuweka ushabiki pembeni mimi ni shabiki wa barca, falsafa yao ya tiki taka inavutia sana tena sanaaaaa. Na mm hii style ndio inanifanya nipende kuangalia hii team ikicheza kwa kila mech. Ila tiki taka utaiona chungu pale team pinzani imewapiga harafu wakapaki basi au nao wacheze mpira wa kawaida tuu bila kupaki basi japokuwa team nyingi zikiifunga barca lazima zidefend. Nakumbuka ile game ya barca na inter milan niliondoka na hasira kali kutokana na mourinho kuweka kontena lake, ikaja tena ile game ya barca na chelsea nilitamani niingie uwanjani nimwambie guardiola abadili style kwa muda ule maana tiki taka ilikuwa inaboa, ball possession 90 kwa 10 ila matuamini goli hakuna. Kupaki basi kuwepo kama team imeingia uwanjani na baadae kuona mambo yamebadilika, tofauti na wao walivyodhania ila sio team inafanya mazoezi wiki hii wakipania kuwa wiki ijayo wanaenda kushusha kontena. Huo ni ujinga. Mpira ni burudani.


winning is the only way..if not why do they count the goals.

🙂
 
utabiri wako kuhusu chelsea fc kutolewa na psg ulipofeli naona umepotea sana mwana..sasa umeibuka na tuhuma za chelsea kupaki basi..

Ulitaka wafungwe ndo ufurahi? Pole sana..

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.🙂
bila kuweka ushabiki pembeni mimi ni shabiki wa barca, falsafa yao ya tiki taka inavutia sana tena sanaaaaa. Na mm hii style ndio inanifanya nipende kuangalia hii team ikicheza kwa kila mech. Ila tiki taka utaiona chungu pale team pinzani imewapiga harafu wakapaki basi au nao wacheze mpira wa kawaida tuu bila kupaki basi japokuwa team nyingi zikiifunga barca lazima zidefend. Nakumbuka ile game ya barca na inter milan niliondoka na hasira kali kutokana na mourinho kuweka kontena lake, ikaja tena ile game ya barca na chelsea nilitamani niingie uwanjani nimwambie guardiola abadili style kwa muda ule maana tiki taka ilikuwa inaboa, ball possession 90 kwa 10 ila matuamini goli hakuna. Kupaki basi kuwepo kama team imeingia uwanjani na baadae kuona mambo yamebadilika, tofauti na wao walivyodhania ila sio team inafanya mazoezi wiki hii wakipania kuwa wiki ijayo wanaenda kushusha kontena. Huo ni ujinga. Mpira ni burudani.
 
Kwahio tuseme kila nchi kuna Timu kama nne tu ambazo huwa zinafanya kazi yake ?, sasa kina Mbeya City, Everton, Toto, Kagera Sugar, Aston Villa, West Bromwhich, West Ham wanafanya nini kwenye league ? Pia unamaanisha kila anayeangalia mpira kwenye kila game lazima awe anashabikia Timu fulani ?

Au unadhani kwenye baadhi ya Cup Competitions kwanini waliweka goli la ugenini ? au kwanini kwa sasa wamejaribu kubadilisha off side tricks ili kuwa-favor washambuliaji

Lengo kubwa katika soka ni KUSHINDA ili kuiweka timu katika hali nzuri ya kuchukua abingwa,sare au kufungwa sio matarajio ya wapenzi wa timu.Hizo chenga,pass,kanzu...nk.vinafanyika uwanjani ili kutafuta namna ya kupata magoli na timu ishinde,..Hizo timu ulizozitaja ziliingia kwenye ligi zikiwa na lengo la kuchukua ubingwa,lakini zimeshindwa kuchukua kutokana na matokeo mabaya kwenye baadhi ya mechi zao (hata kama walicheza mpira nzuri.)

Pia hata kama sio mshabiki wa timu husika,unaangalia mechi ili kujiridhisha na matokeo yamepatikanaje?,swala la burudani halina maana yoyote ile kama timu itafungwa.......hebu jiulize kwa nini mashabiki huleta vurugu timu zao zinapofanya vibaya/kufungwa mara kwa mara?.......kwa nini timu zinashuka daraja?....hivi,MAN U ingeshinda mechi zote,MOYES angefukuzwa?
 
Bila kuweka ushabiki pembeni mimi ni shabiki wa Barca, falsafa yao ya Tiki Taka inavutia sana tena sanaaaaa. Na mm hii style ndio inanifanya nipende kuangalia hii Team ikicheza kwa kila Mech. Ila Tiki Taka utaiona Chungu pale team pinzani imewapiga harafu wakapaki basi au nao wacheze mpira wa kawaida tuu bila kupaki basi japokuwa team nyingi zikiifunga Barca lazima zidefend. Nakumbuka ile Game ya Barca na Inter Milan niliondoka na hasira kali kutokana na Mourinho kuweka Kontena lake, ikaja tena ile Game ya Barca na Chelsea nilitamani niingie uwanjani nimwambie Guardiola abadili Style kwa muda ule maana Tiki Taka ilikuwa inaboa, Ball Possession 90 kwa 10 ila matuamini goli hakuna. Kupaki Basi kuwepo kama team imeingia uwanjani na baadae kuona mambo yamebadilika, tofauti na wao walivyodhania ILA SIO TEAM INAFANYA MAZOEZI WIKI HII WAKIPANIA KUWA WIKI IJAYO WANAENDA KUSHUSHA KONTENA. HUO NI UJINGA. MPIRA NI BURUDANI.

kwa nini uliondoka na hasira wakati mpira ni burudani??..si ungeondoka na furaha kwa burudani uliyoipata?.
 
utabiri wako kuhusu chelsea fc kutolewa na psg ulipofeli naona umepotea sana mwana..sasa umeibuka na tuhuma za chelsea kupaki basi..

Ulitaka wafungwe ndo ufurahi? Pole sana..

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.🙂

ha ha ha ha ha ha kaka mm mbona nipo sana!! Bila kupaki basi mbona kule Spain mngeondoka na nyingi tuu.
 
Lengo kubwa katika soka ni KUSHINDA ili kuiweka timu katika hali nzuri ya kuchukua abingwa,sare au kufungwa sio matarajio ya wapenzi wa timu.Hizo chenga,pass,kanzu...nk.vinafanyika uwanjani ili kutafuta namna ya kupata magoli na timu ishinde,..Hizo timu ulizozitaja ziliingia kwenye ligi zikiwa na lengo la kuchukua ubingwa,lakini zimeshindwa kuchukua kutokana na matokeo mabaya kwenye baadhi ya mechi zao (hata kama walicheza mpira nzuri.)

Kwahio unaniambia katika kila league kila Timu hata zile zinazomaliza mkiani huwa zina mategemeo ya kuchukua kombe ? (realistically) ?, pia unaposema wapenzi wa Timu fulani unamaanisha Neutrals hawana Say yoyote katika game fulani ? Pia mfano Moyes angeshinda / draw game zote kwa ushindi wa goli moja alafu ku-defend kwa nguvu zote (mfano wa enzi za One Nil to the Gunners) unadhani mashabiki wangetosheka ? au Timu ikimnunua mtu kama Messi na kumu-force afanye defensive duties, au kipindi kile kumwambia Roberto Carlos hakuna kupanda bali abaki tu kulinda goli watu wa Real Madrid wangetosheka ? hata kama wangeshinda..., point yangu ni kwamba is winning ugly kwa muda mrefu haitachosha wapenzi ?

Pia hata kama sio mshabiki wa timu husika,unaangalia mechi ili kujiridhisha na matokeo yamepatikanaje?,swala la burudani halina maana yoyote ile kama timu itafungwa.......hebu jiulize kwa nini mashabiki huleta vurugu timu zao zinapofanya vibaya/kufungwa mara kwa mara?.......kwa nini timu zinashuka daraja?....hivi,MAN U ingeshinda mechi zote,MOYES angefukuzwa?

Point yangu ni kwamba kama Neutral anaangalia mpira kuona watu wanashindana ili kushinda sio kushindana ili usishindwe (nadhani umenielewa) mpira unavutia kukiwa na ushindani wa mtu kujaribu kushinda, kuna watu huwa wanaangalia mpira tu ili wamwone mtu kama Messi au Ronaldo wanafanya vimbwanga vyao.., Pia Moyes hata angeshinda League kwa kucheza au kubadilisha Man United ikacheza Tactics za enzi za kina Wimbledon nadhani mwisho wa siku angefukuzwa
 
Brendan Rodgers baada ya kufungwa na Chelsea..., Ingawa wengine watasema ni Sour Grapes na Maneno ya mkosaji ila binafsi nadhani ana point..

"They virtually played from the off with a back six with the wingers coming back," Rodgers said.

"It was 10 players behind from the first minute and we found it difficult to break down. You don't just see it against Atlético Madrid, it's against most. It's the style of football, it's defensive, and the polar opposite of the way we work. It gets results.


"Jose has got his today and he will be happy with that. It's the opposite to how we work and hopefully over time and with preparation it will get us long-term results.


"It's not difficult to coach to just get 10 players right on your 18-yard box and it is difficult to break through, but they defended well. I think they got booked for time wasting in the 92nd minute but you could see from the first whistle that the plan was to frustrate but teams work in a different way. We are a team that tries to win in a sporting manner, try to work and initiate the game with the ball.


"I understand if it's late in the game and players are taking their time. It can be frustrating from the first whistle but that is how teams will set up and the nature of some coaches and managers you have to deal with it. Jose is happy to work that way and play that way and he will probably show his CV and say it works but it's not my way of working.


"I like to take the initiative in games and let players express themselves. They have some fantastic players. They defended well. We tried everything we could but our game is based on being offensively being creative as opposed to stopping. This game will prepare us for Crystal Palace."
 
nani alimwangusha STEVE GERRARD?

😕
Mkuu ushabiki pembeni huoni kwamba kuna tatizo kwa Timu kutumia pesa kununua talent alafu kucheza/kutumia mfumo(sidhani hata kama ni haki kuuita mfumo) sawa sawa na Crystal Palace au timu ambazo zinafight relagation ? Kama ni sawa kwanini kuangaika kupata kocha kwa pesa nyingi wakati kina Pulis huenda wangefanya kazi sawa na hio wakipata pesa ?

Hii ni sawa sawa na kumchukua mtu kama Zidane na kumwambia acheze kama Claude Makelele, hivi bila mistake ya Gerrard si huenda mpira ungeisha 0-0 alafu cha ajabu ni kwamba Liverpool ndio ilihitaji draw kuliko Chelsea
 
Je Croatia ni bora kuliko Brazil ?

Je ni Spain ndio walikuwa wanaboa au waliowafanya wacheze hivyo ndio waliboa ?

Je mfumo kama huo unaweza ukashinda ligi kwa muda mrefu ?
 
Back
Top Bottom