Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
-
- #41
Sasa naona unambwelambwela tu, mwanzoni kabisa nilikuomba maana ya negative football kuzuia hizi sarakasi, kama mwanasiasa ukalikwepa hilo, sasa kuna sababu zinazokufanya uandike porojo hizi
Mkuu sasa kama hata hatujui maana ya negative football naona hatuna sababu hata ya kuendelea..., Football mwisho wa siku impectus ni kuhakikisha unafunga magoli kwa opponent wako, kwahio tactics zako zikiwa mwisho wa siku ni attacking ili ufunge as much as possible that is positive.., impectus ikiwa ni kuhakikisha haufungwi that is negative tactics sasa coach mzuri ni kupata balance nzuri, wengine wanabuild their team from defence kwenda mbele (sio mbaya na ina uzuri wake) na kama wanatumia counter za nguvu na pace pia inaweza ikavutia..wengine wanatengeneza Timu ya Attacking ila nyuma wanavuja hii pia sio nzuri kwa Team..(sababu defending is also an art), Ila wapo wale wanaokuja kwa kupaki basi mwanzo mwisho kuhakikisha/kusubiri mwingine afanye kakosa ili wa-capitalize walau wapati kagoli kamoja waendelee kupaki basi au ikishindikana basi draw itatosha...
Ndio maana hapa nikaongelea Neutrals na nikatoa mfano wa Arsenal ilivyokuwa Boring Boring Arsenal / One Nil to the Gunners na sasa hivi ilivyo.., wapi Neutrals waliipenda ?, au ni wangapi walikuwa wanatune kuangalia Barca ili tu wamwone mchawi Ronaldinho akifanya uchawi wake ?, au Bolton ilivyomsign Okocha.., pamoja na 19th century tactics za Sam lakini watu waliipenda Bolton na waliiangalia sana ili tu waone uchawi na individual talent za Okocha.., kwahio overall as a Brand football needs this kind of people..., they Neutrals needs something more than just a result of either side..1.Hujui kuwa vitu kama burudani, kuboa, ni subjective, burudani yako wewe inaweza kuwa kero kwangu, kinachoniburudisha mimi kinaweza kuwa kinamboa juve2012, halafu sidhani kama mpira unaweza kuburudisha watu wakaridhika kama wanafungwa lakini wanacheza mpira mzuri
Sasa wewe unajiita expert wa Italian football lete data zako.., Serie A na Italian Coaches tangia kitambo wanaweka msisitizo kwenye a strong defense thats a fact (ingawa defending does not necessarily mean kwamba ni kupaki basi) ila mfano niliotoa kuhusu Serie A ni kwamba goals per game sio nyingi kama lets say Premier League; Ni kama vile Premier league / English wanavyokazania kuanzia mtoto anajifunza mpira akipata mpira ni movement ya kasi na sio kupiga piga chenga wala kukaa na mpira sana (tofauti na Spain) ndio maana watu kama kina Joe Cole anakwambia tangia anakuwa alikuwa anakuwa forced kubadilisha aina ya uchezaji.. Kumbuka Pia narudia Good defending sio lazima iwe mpira mbaya ila kuna ku-defend na kupaki basi.. tofauti ni kubwa..., Serie A tangia zamani defenders knows how to defend inayopelekea goals per game zisiwe nyingi tofauti na league ambayo ipo open yenye magoli mengi na facts zinaonyesha kwamba kwenye Top Leagues most watched Serie A comes 4th2.Huna data za kutosha kuhusiana na vitu unavyojifanya unajua, kwa mfano kuhusiana na Serie A, hujui sababu zilizolifanya soccer la Italia kufikia hapo lilipo, umekazana na negative football ambayo hata maana yake huna au hujui
3.umejivika uwakili wa kuwasemea watu bila ridhaa yao, eti watu wanapenda Barcelona akicheza ila umesahau wapo watu wengine wengi tu hawapendi mpira wa Barcelona. Wapo wanapenda mpira wa Barca, wa ATM, wa Chelsea, wa Juventus, wa B.Dortmund n.k ila wewe umechagua tu wale wa Barca na Madrid ku-generalize tu ili ku-support porojo zako
Hivi unajua watu wangapi huwa wana-tune kuangalia Barcelona worldwide ? Hivi unajua watu wangapi wanatune kumuangalia Messi kila Barca inapocheza ? hivi unajua Barcelona / La Liga inauza TV rights kiasi gani worldwide na wangapi wanaangalia ? au unataka nilete Data kutoka wapi ili zionekane kwamba ni Data
Ofcourse soka ni biashara ila biashara kwa nani ? Ngoja ni - break it down...4.Umesahau soccer ni biashara
mwisho wa siku kinachomata kwenye soccer ni ushindi/points tatu mezani, hizo ndio zitakupa vikombe, medali na pesa zinazokusaidia kuendesha hizo club.
Sponsors wanaotegemea ni ligi gani inaangaliwa kiasi gani au competition ipi inaangaliwa kiasi gani ili waweze kumwaga pesa kiasi kulingana na brand ya Timu. Ni Biashara kwa TVs wanaochukua rights za kuonyesha mpira ili waweke matangazo yao na kuweza kulipa Ligi husika... kwahio kuna direct correlation kati ya watu/audience na sponsorship
Ni biashara kwa wachezaji husika ambao wanalipwa pesa kutokana na wanachokifanya na image rights pamoja na individual sponsorship
Tukiacha Team chache kama Man United (kabla Glaziers hawajaiweka kwenye madeni ya nguvu) au Timu zenye viwanja vikubwa vyenye capacity kubwa vinavyojaa kila game ni Timu chache sana zinazotengeza profit nyingi matumizi yake ni makubwa kuliko inavyoingiza sababu mwisho wa siku Timu haipo pale ili itengeneze pesa bali ipo pale kutoa burudani kwa mashabiki wake.., ndio maana kuna wafadhili wanaomwaga mapesa bila kutegemea kama pesa yao itarudi, au ndio maana Madrid City Council imeisaidia Real Madrid mara kadhaa isiingie kwenye matatizo ya pesa sababu kuwepo kwa Real ni sifa ya mji mzima...
Nadhani pia tumeona mambo ya results at all costs yalivyowa-cost timu kama Rangers, kushushwa daraja au portsmouth au hata Leeds United, kujaribu kutumia pesa ambazo hazipo. Kuna watu wanameshaona mbali kwamba huku kutumia pesa kiasi hiki kusipoangaliwa kunaweza kuzikumba Timu nyingi zaidi sababu this business is not a profit making business rather an entertaiment... (last sentence ni my own opinion by the way)