Mpira ni strategy and plan ila Pablo hana

Mpira ni strategy and plan ila Pablo hana

Penye moshi kuna moto siyo bure kuna jambo lipo simba tusubiri kwani vyungu vimeanza kutokota muda si mrefu vitapakuliwa
 
Simba wala haiteseki ,ni ishu ya matokeo tu,yanga mlikuwa maskini na miaka 4 bila ubingwa kwasababu hata kusajili mlikuwa mnatembeza bakuli ,ogopa kuwa maskini , Simba inakosa matokeo ikiwa na hela siyo ikiwa maskini . Kuna tofauti kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyie mlikaa almost miaka mitano bila ubingwa....it was Yanga vs Azam.
Kipindi hicho hata mchezaj wa ndani mlishindwa kusajili, wenzenu Yanga hata tufulie vipi bado tunafanya usajili wa wachezaji kutoka nje.
 
Nilichogundua uwanja wa sokoine ulikuwa mbovu kweli.
Vinginevyo mbeya city angemfunga simba goli hata nne.
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom